Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Maajabu ya CHADEMA mtu ambaye hajakomaa kisiasa walimuweka chimbo NYETI KAMATINI yule mtu wa jalalani wakamsafisha.

Mpaka kijana mwenzetu MNYIKA akakaa kimyaa.

Angarau sasa anapumua.
Message nzito, ila umeificha mbali sana mkuu.
 
Halima kakomaa kwa vurugu
Ni sawa tu kwani shida iko wapi
Ni mkomavu kiakili kisiasa na kitaaaluma
Iwe kwa vurugu kwa amani ni mkomavu sio huyo askofu wa kujipachika kuchota mchanga kashindwa
Halima anawayambishaaa mtaelewa tu
Nchi haiwezi kuongozwa na mapepo Laana iliyopo hata sasa ni Mungu tu
 
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.
Gwajima hana lolote, hawezi kushinda hata kidogo
 
Kosa la bi Kidude ni lipi ? Amwache apumzike kwa amani!
 
Ni sawa tu kwani shida iko wapi
Ni mkomavu kiakili kisiasa na kitaaaluma
Iwe kwa vurugu kwa amani ni mkomavu sio huyo askofu wa kujipachika kuchota mchanga kashindwa
Halima anawayambishaaa mtaelewa tu
Nchi haiwezi kuongozwa na mapepo Laana iliyopo hata sasa ni Mungu tu
Kiufupi jiandaeni kisaikolojia
 
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.

Ni aibu kwa mtumishi wa MUNGU kuvuta ugoro.
Jeshi la polisijapo mnatumika vibaya na ccm, Gwajima anapaswa akatoe maelezo polisi kwa manenoyake aliyo tamka mbele ya makamu wa rais kuwa:

1: Ikibidi watu wachechemee ili ccm ipita, basi watu watawchechemea

2: Ikibidi watu wazimie ili ccm ipita, basi watu watazimia

Hawa ndo wanaeleta vurugu kwenye jamii.
 
Dini inataka ukweli siasa inataka uongo hapa sijui atabalance vipi
 
Back
Top Bottom