Askofu Gwajima asema yeye na Abbas Tarimba ni mapacha, amkaribisha kanisani kwake na kumpigia kampeni

Upo serious kweli wewe?
Kwahyo Tarimba ambaye anaenda mchezo wa kamari(sportpesa) na mlaa riba vitu ambavyo ni haramu katika uislam ndo muislamu wa kuthibitisha kuwa Gwajima yupo pamoja na waislamu?
 
Huu nao ni ujinga waliopelekewa wajinga waliokusanywa kwenye jumba wanaloliita kuwa ni "kanisa"! Watu na akili zao wanakusanywa na mtu asiye na sifa za kichungaji halafu anawageuza mazezeta leo anawaambia hili kesho anawaambia hivi nao wanapiga makofi nchi hii ina wehu kibao Pale Tarimba amepelekwa kufuta upuuzi wake kwamba atafuta madrasa! Zamani watu kama Gwajima waliitwa ma TP! Ukweli waumini wa Ufufuo wanaongozwa na TP waliomshtukia mapema walitafuta makanisa zamani wakajiondokea!
 
Uislam unakataza kamari na riba... yeye ndio anahamasisha kisha "...wanataka watuaminishe kuwa kaalika muislamu kanisani anamtafutia kura!!!" Haya basi na amualike Sheikh Ponda au Sheikh Kishki ili wamsafishe vizuri!!!
Samahani kwan ndugu zangu waisilamu hamna anayebet?
 
Naomba picha ya Mdee akiwa na Sheh wake. Bora Askofu ambaye ni mkristo kuliko yule mdada mwenye dharau na matusi kwa kila aliyemzidi
 
Makanisa siku hizi ni mali ya ccm?
 
Upinzani wanatetemeka!! Jimbo la kawe linabaki historia kwa mdee..alijua angekua mbunge wa kudumu kawe.
wamesahau ndo huyu alipowapambania CHADEMA kwenye issue ya kuja lowassa na kutoka Slaa
 
Tapeli na muhuni

Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

 

Kauli za majukwaani mara nyingi hazibebi maana halisi.
Ingekuwa mimi nisingeambatana na watu vigeugeu wanaomsingizia Mungu kuwa amewatuma wakati wametumwa na matumbu ya wao wenyewe
 
Utapeli kwa mgongo wa dini!

Kutumia nyumba za badala kufanya kampeni,ni kujimaliza kisiasa.

Huyu kura za Waislaumu hapati kabisa na hata za wakristo wa madhehubu mengine pia hatozipata kwani hawamuamini.
Hahaaa!! Tuache kujifariji kiivo mzee
 
Kwani aliyetaka kugeuza misikiti kuwa sunday school ni nani? Pili unasema kampigia kampeni kwani kampeni zisharuhusiwa kuanza? Tatu huyo Tarimba bado ni boss wa makamari ambayo uislam umekataza?
 
Gwajima pressure imepanda mapema hivi?! na bado, game ndio hata bado filimbi ya kuanza haijapulizwa, kazi anayo.

Halafu huyo tapeli anafanya kampeni kanisani kwake waziwazi na waumini wake wanachekelea tu, sijui hilo andiko la kampeni wamelisoma kwenye kitabu gani cha biblia, wajinga ndio watafunwao.
 
Unazungumzia "tuhuma" za Mdee wakati wenzio tunaangalia porn za Gwajima, wacha kutetea ujinga dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…