Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Upo serious kweli wewe?Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.
Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.
Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.
Chanzo: Eatv
My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!
Maendeleo hayana vyama.
Kwahyo Tarimba ambaye anaenda mchezo wa kamari(sportpesa) na mlaa riba vitu ambavyo ni haramu katika uislam ndo muislamu wa kuthibitisha kuwa Gwajima yupo pamoja na waislamu?