Kuna kidhibitisho chochote kwamba katangaza haya maombi baada ya kutolewa taarifa ya kuitwa jana? Maana hilo tangazo halina tarehe, na vile vile halioneshi hayo maombi ni tarehe ngapi hadi ngapi, limekaa linaelea tu, na MCHONGANISHI yeyote anaweza kulitengeneza!! Na ni kipi kilichokufanya uconclude Amaleki anamaanisha ni Mkuu wa nchi?
Kabla ya kutoa mapovu humu ni bora kujiridhisha usahihi wa hiyo taarifa ya maombi. Naona HARUFU YA UCHONGANISHI katika hilo bango, kwa maoni yangu hiyo taarifa haijatengenezwa na Gwajima, Ni mtu smart yule, siyo mjinga kwa kiwango hiki.