Mfalme mwovu wa Amaleki Agagi huko Ccm kwanu hajang'oka tuView attachment 2048240
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?