Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

SHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]

Haya yamesemwa toka wakati Baba yako ndo anamtongoza Mama yako amle ili amtoroshe!

Issues za dini are most difficult to handle, weather ni za kutapeliwa or not,

Halafu uache ujinga, mbona huna writing skills? Miherif mikubwa yote ya nn?
 
Qmaninerrrr ajivue uanachama n.a. ubunge kwanza afanye toba kisha ndiyo afunge, zilipendwa huyu, kiroboto.
Huyu askofu aliyekutwa na mrembo guest😀😀😀, maneno ya shemeji Doro.

Everyday is Saturday................................😎
Hawa jamaa wanapendaga issue izo yaani ni kuharibu tu hawajali ni watoto wao kiumri au ni wake za watu yaani wao ni vita tyuu
 
Alivyofumba macho tu kwenye iyo picha anaonekana anaigiza kama Ray kigosi
 
Haya yamesemwa toka wakati Baba yako ndo ananitongoza Mama yako amle ili amtoroshe!

Issues za dini are most difficult to handle, weather ni za kutapeliwa or not,

Halafu uache ujinga, mbona huna writing skills? Miherif mikubwa yote ya nn?
#hiting target mh simbachawene miiko ya haya makanisa ni muhimu mno wafuate miiko na jinsi leseni zinavyowaruhusu siamini kama hazina mipaka na kama hazina mipaka basi ni wakati wa kuiweka
 
Gwajima toka atembelewe na Samia jimboni kwake na kuahidiwa kutatuliwa kero zake alifunga mdomo, iweje leo akurupuke ghafla? usanii tu.

Polepole ndie anawahenyesha CCM kwa sas na ndie anaetafutwa, sio huyo zilipendwa.
Mh! Mkuu, kilichomuweka super glue ni hiyo ziara kweli?

Siyo kile kikao cha maadili cha bunge alichosusia kukalia viti?

Maana alipotoka huko akajibehave kama mwali aliyetoka kufundwa unyagoni[emoji38][emoji38][emoji38].
 
View attachment 2048240

Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.

kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Nchi hii tukiruhusu watu wa mikoa ya pwani wapewe uongozi ndani ya chama na serikali katika nyazifa kubwa na wakawa wengi amini nawaambieni wanayo agenda inahitaji jicho lacziada kuona hili, usaliti wao na ujuha wao dhidi ya watu wa mikoa mingine ni mbaya sana. Kumbukeni Samia alikuwpo enzi za Magufuli. Pamoja na uwepo wa akina kina Kinana, Mangula, Chongolo etc mtambue sasa wenye ushawishi na nguvu ni hao wa mikoa ya pwani, time will tell. Hapo anatafutwa Gwajima na Polepole. Jerry yeye had more to do with intellectual ideas on tax collectivism. Inclussive tax agendas, The amazing Jerry Slaa japo mkiburi akisha nyadhifa kubwa, enzi za Umeya ilikuwa hatari
 
Bado Moshi unafuka "kweri kweri"! Wamegeukiana wenyewe kwa wenyewe sasa. Askofu Gwajima saa chache kabla ya kuhojiwa na Wana CCM wenzie ameamua kufunga 72hrs Ili kumng'oa Amaleki katika nchi....

Hii ngoma Bado mbichi sana, naomba popcorn 🍿 hapo na juice bariidi.



IMG_20211218_080530.jpg
 
Back
Top Bottom