OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuna msemo "wakitumaliza, wataparurana wenyewe". Sasa ngoma inogile.View attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Tuwaache hivyohivyo, hakuna kuamulia.Kuna msemo "wakitumaliza, wataparurana wenyewe". Sasa ngoma inogile.
🤣🤣🤣🤣🤣Tuwaache hivyohivyo, hakuna kuamulia.
Mgambo wanaruka na kukanyagana.View attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Dunia itatucheka sana kuamulia watu wabaya kama hawaTuwaache hivyohivyo, hakuna kuamulia.
HAWA WAKABILA WANAPATA TABU KWELI SHINDWA KATIKA JINA LA YESU NA UKOME UKOME UKOME ULEGEE KWA JINA LA YEYE AMBAYE YUPO AMBAYE NI MMOJA PEKEE THE OMNIPONENT THE MOST HIGH SELAH AMEN AMENView attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Hagaya/hangaya? Gwaji naye ni askofu wa michongo tuuView attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Our lord is so great and thanks to most high for spliting and finish that gangMgambo wanaruka na kukanyagana.
Tulisha sema sana juu ya nia ya hawa watu mara tu walipo anzisha vuguvugu la kuanzisha kundi lao la sukuma gang.
KATIBA INASEMAJE?SHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]
Kuna msemo "wakitumaliza, wataparurana wenyewe". Sasa ngoma inogile.
Una ubavu wa kuamulia CCM weye ?Dunia itatucheka sana kuamulia watu wabaya kama hawa