Kweli kabisa. Tena wapitie kabisa mengine eti unaambiwa umuombe marehemu bikira Maria ! Hayo ndio ya kufutiwa kabisa usajili. Ala.SHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]
Hayo mambo ya sukuma gang hayapo mkuu. Ila ni watu wachache wanabumba ili kujisimika kisiasa. Najua issue kama ya Polepole imeiharibia sana CCM.Mgambo wanaruka na kukanyagana.
Tulisha sema sana juu ya nia ya hawa watu mara tu walipo anzisha vuguvugu la kuanzisha kundi lao la sukuma gang.
Una uhuru wa kuabudu lakini usivunje sheriaKATIBA INASEMAJE?
Kwani huyo Amaleki katika nchi ni nani? Yaani wafutiwe usajili wao kwa sababu ya huyo Amaleki? What if huyo Amaleki ni wakala wa shetani hapa nchini?SHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]
Ni za kale.Mnajidanya, CCM ni moja na ile ile na mtaendelea kujifariji humu JF na CCM ikiongoza kwa miaka mingi ijayo.
mbona povu limekutoka sana shida nini hasaHapa Chini ni official Instagram account ya Gwajima, na mambo yanayohusu activities za kanisani kwake yote huyaposti hapo, hakuna hicho ulichoweka mleta mada katika account yake!! Wewe umetoa wapi hicho ulichoweka? Kuna harufu ya UCHONGANISHI, Mods fanyeni kazi yenu...
View attachment 2048220
Uchonganishi siyo mzurimbona povu limekutoka sana shida nini hasa
Jamaa unapata tabu bure.Kweli kabisa. Tena wapitie kabisa mengine eti unaambiwa umuombe marehemu bikira Maria ! Hayo ndio ya kufutiwa kabisa usajili. Ala.
Wenzio wanamalizia mfungo wewe unasema uchonganishi?!!Uchonganishi siyo mzuri
Kuna watu WAPUMBAV wanamuamini anyway hizi Dini wakati mwingine zinakuwa kama Pombe tuView attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Iangalie pia na mfumo Katoliki na Majesuit walivyojipanga kuitafuna nchi na duniaSHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]
Halafu Polepole anakuwa raisi??Safari hii rais wa mchongo lazima atolewe madarakani na Sukuma gang, liwe jua iwe mvua kitaeleweka ru.
Kwaiyo mnapanga kutaka kupindua mamlaka?!Safari hii rais wa mchongo lazima atolewe madarakani na Sukuma gang, liwe jua iwe mvua kitaeleweka ru.