Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Joseph Gwajima leo amefika ofisi za ccm ili kupewa utaratibu wa jinsi ya kugombea ubunge.

Amedai kuwa anataka kugombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama cha mapinduzi na amekana kuwa hajawahi kuwa mwanachama wa cdm.

Tujiandae kumuongezea cheo kwenye jina lake na sasa tutamuita MHESHIMIWA MCHUNGAJI GWAJIMA.
Screenshot_20200701-212926.jpeg
 
Katika watu niliokuwa natamani siku moja aingie bungeni ni Gwajima.

Anakuaga na point sana za maswala mbalimbali yahusuyo nchi coz ana exposure kubwa ya nje.
Akiingia Kwa ticket hiyo hayo maswali atamuuliza Nani? Yale yale ya Mikocheni yanarudi
 
Angalisubiri ubunge wa kuteuliwa na si wa jimbo, kama rais ataona anafaa.
 
Habari wadau,

Nimeskia Gwajima ametangaza nia ya Ubunge kupitia CCM jimbo la Kawe.
Kama ni hivo basi kuna mambo 3 Najiuliza

1. Barabara ya Salasala Goba(Mkupita Road) itawekwa lami mapema maana imekuwa ni kilio cha wengi ikiwemo gwajima mwenyewe mwenye investment zake katika mkondo huo.

Kiunganishi cha Salasala na Goba ni kilo cha wakazi wa mbezi, tegeta na Mbezi hasa ukitegemea itakuwa ni shotcut kati ya Kimara, mbezi na Tegeta, mbezi beach na Salasala.
Au labda ameona Mbunge aliyepita alishindwa kazi au ?

2. Labda ni kazi maalumu kuondoa CHADEMA jimbo la Kawe hasa baada ya mh kupiga biti wakuu wa mikoa kutoingia kwenye Uchaguzi hivo kuna uwezekano Kijana wetu mpendwa wa Dar atapumzika kwa muda ? Au

3. Ni kisasi na Kijana wetu wa Dar baada ya tetesi kwamba ataenda Kawe ?
Wataalamu wa kuchanganua karibuni
 

Attachments

  • IMG-20200701-WA0050.jpg
    IMG-20200701-WA0050.jpg
    76.7 KB · Views: 1
Gwiji-gwiji haya yetu macho...
Aende akagombee Kolomije...

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Kumbuka Gwajima alisha andaa vipeperushi vya kuwaunganisha watu wa kwao
[SUP]Wakina Askofu Moses Kulola wangekuwa na tamaa kama hawa wajasiriamali wa kiroho wa siku hizi, basi neema ya wokovu isingekuwepo kubwa Tanzania kama ilivyo leo hii.[/SUP]
 
Back
Top Bottom