Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama CCM watampitisha ila huyo jamaa ni popular huko makanisani ambao ndio wapiga kura.... nakushauri usipime kina cha maji kwa macho....Huyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.
Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.
Hahahaha, kwanza kwa list ya kawe ya wagombea ccm, huyu mbn hashindiHuyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.
Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.
Akifika Bungeni Akili itakuwa kama ya cyprian Musiba, le mutuz, kibajaji na Msukuma ukiingia CCM moja kwa moja unapungukiwa na uwezo wa kufikiri
Atamshinda nani? We nae hazimoKwa ushawishi wa Gwajia Hata akigombea kuwa ticket ya TLP anashinda
Ni sawa tu kwa maana tumeshaambiwa "amani ya nchi ipo chini ya kanisa" nani apinge!?View attachment 1494766
Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.
Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote.
Unaumwa mavi wewe! Halima anashinda asubuhi na mapema. Kawe watu wanajitambua sana. 2015 tulimpiga chini mgombea wa ccm pamoja na figisu zote mlizoletagwaji anatia maguu mapema mno bungeni yule dada kichaa ajiandae kisaikolojia
Jiongeze wewe yule kawaloga hao watu wakeAngekuwa mgombea binafsi ningemuunga mkono.
Sasa kama mtumishi wa kanisa unakuwa kwenye Chama fulani utawapenda wahasimu /wapinzani wako?.
Ila huyu jamaa waumini kawaweka mfukoni.
Siku anatangaza kuunga mkono upinzani waumini wote wakaingia CHADEMA na siku aliyosalimu amri kwa Bashite baada ya maombi yake ya kishenzi ya kumng'oa madarakani kugonga mwamba nao waumini wote wakarudi CCM.
Nafanya kazi na waumini 2 wa Gwajima, aisee jamaa wapo kama wapumbavu fulani kichwani
Wale wehu hawasemi anachanganya dini na siasa???Bora yale makelele yake yaishe sasa, kaona kijiwe cha dini hakilipi tena sasa anahamia kwenye siasa, yule jamaa wa Tanganyika Packers siku hizi anachukua wateja wao wote.
Halafu wako vipofu wanaomuita baba yao wa kiroho, nahamu aseme ni andiko gani linalosema unaweza kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, yule wa duniani na wa mbinguni?!
Jamaa aache usanii.
🤣🤣🤣😂 Na Mdee anashinda asubuhi na mapema.Kasesela bora atafute pori akajisaidie kwanza huko kawe awaachie CCM wengine wapambane na mdee
Mzigo wake upo kule xvideoMkuu maktaba yangu ina video zake zaidi ya 10 , nasubiri apewe nafasi nimalize kazi , hakuna haja ya kulea ujinga
mko wangapi ? Kawe haina mpiga kura wa kumhonga chumvi au kibaba cha dagaa kama huko kwenu kondoa , wala kawe hakuna mpiga kura wa kumtisha kwa kutumia polisi wenye mishahara duni .Zamu hii Kawe tunachagua chama siyo mtu!
nina zaidi ya ile , na nyingine za mazabauni !Mzigo wake upo kule xvideo