Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok atoe pua tumwage mzigo hadharannina zaidi ya ile , na nyingine za mazabauni !
Kizazi kitakachokuwa kinatumia vichwa kufikiri na si kutenganishia masikio pekee kitatambua tu how visionary Dr Slaa was!Historia ipi ya Slaa? au kununuliwa akaenda canada kufichwa na CCM? Huko kawe CCM watapora uchakachuaji tu lakini sanduku la kura wananchi watamchagua mdee tu
Hili zee la kumbato kondooo linataka kwenda kutafuna malaya wa mjengoniView attachment 1494766
Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.
Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote.
😆😆😆😆Gwaji boy mzee wa uno everii bodi say uno !!!!! Yan kifo cha mee [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Huna akili ?Kizazi kitakachokuwa kinatumia vichwa kufikiri na si kutenganishia masikio pekee kitatambua tu how visionary Dr Slaa was!
Nyie mliolemazwa na propaganda uchwara hii wala haiwahusu.
Huo uchakachuaji huwa ni excuse tu kwa losers wote, kwa sisi tuoamini kilichopo kwenye scoreboard huo msamiati hatuna kwenye KAMUSI zetu.
MDEE OUT!
Tema mate chinihabari ya halima mdee ndio imeishia hapo,hana chake tena kawe
View attachment 1494766
Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.
Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote.
Pole sana kama nimekutandika kwenye mshono!Huna akili ?
Hata ww anakubeba mzima mzima...Kusema kweli ni haki yake kugombea. Na huyu akigombea na anavyojua kuutumia mdomo wake lazima watu watampigia kura tu. Tanzania ni rahisi sana kushinda ubunge ukiwa unajulikana.
Kawe list ni kubwa ya wagombea ubunge Ccm
Barabara ya Makonde hadi Baraza la Mitihani.Habari wadau,
Nimeskia Gwajima ametangaza nia ya Ubunge kupitia CCM jimbo la Kawe.
Kama ni hivo basi kuna mambo 3 Najiuliza
1. Barabara ya Salasala Goba(Mkupita Road) itawekwa lami mapema maana imekuwa ni kilio cha wengi ikiwemo gwajima mwenyewe mwenye investment zake katika mkondo huo.
Kiunganishi cha Salasala na Goba ni kilo cha wakazi wa mbezi, tegeta na Mbezi hasa ukitegemea itakuwa ni shotcut kati ya Kimara, mbezi na Tegeta, mbezi beach na Salasala.
Au labda ameona Mbunge aliyepita alishindwa kazi au ?
2. Labda ni kazi maalumu kuondoa CHADEMA jimbo la Kawe hasa baada ya mh kupiga biti wakuu wa mikoa kutoingia kwenye Uchaguzi hivo kuna uwezekano Kijana wetu mpendwa wa Dar atapumzika kwa muda ? Au
3. Ni kisasi na Kijana wetu wa Dar baada ya tetesi kwamba ataenda Kawe ?
Wataalamu wa kuchanganua karibuni
Yaani Ubunge wa sasa ni hatari CCM watakusanya fedha kwenye kuchukua form just imagine ubungo wagombea 20,kibamba wamefika 17!! Nashangaa Kitila kakaidi maagizo ya JIWE anagombea Ubungo ina maana anapiga chini ukatibu mkuu WM.Alaaa kumbe?!
Ngoja tusubiri mchujo wa kura za maoni!
Wakifanya makosa hapo jimbo watalipoteza tena kwa mara nyingine
umeanza vzr kabisa ila mwisho wako sasaDunia ina mambo.
Kikatiba yuko sahihi kabisa.
Kiuhalisia hata ccm hawawezi kumpitisha labda viti maalum.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumpigia kura gwajima kua mbunge wake.