Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Askofu uchwara, sasa anataka pesa za siasa.
 
Yaani Ubunge wa sasa ni hatari CCM watakusanya fedha kwenye kuchukua form just imagine ubungo wagombea 20,kibamba wamefika 17!! Nashangaa Kitila kakaidi maagizo ya JIWE anagombea Ubungo ina maana anapiga chini ukatibu mkuu WM.
Jiwe ni nani? Kila mnachoambiwa mnaufyata!
 
Kati ya vitu nilivyofurahia leo hii n kuona watumishi wa mungu wakiwa na hamu ya kumsaidia dk jpm

Hakika nimefarijika sana kuona askf akitangaza nia

Niweke wazi tu kama ccm mtafanikiwa kumpitisha askofu

Swala la kwenda dodoma n nususaa baada ya uchaguzi hilo tuachien watoto wa kawe

Kama mbayu na iwe mbayu tumechoka na hawa watoto wa mama mdogo kwa kweli

Tunahitaji mtu ambae ana hofu na mungu bungeni ambae akiona kuna shida siotu kusema anaanza kumwomba roho mt amwonyeshe nn cha kuongea kuweka sawa maendeleo ya nvhi yetu

Naomba wah wote msikosee kwa hili tunatama kufanya mageuzi makubwa kawe

Mumgu awabariki

Mungu ambarkki ask gwajima
 
KATI YA VITU NILIVYOFURAHIA LEO HII N KUONA WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA NA HAMU YA KUMSAIDIA DK JPM

HAKIKA NIMEFARIJIKA SANA KUONA ASKF AKITANGAZA NIA

NIWEKE WAZI TU KAMA CCM MTAFANIKIWA KUMPITISHA ASKOFU

SWALA LA KWENDA DODOMA N NUSUSAA BAADA YA UCHAGUZI HILO TUACHIEN WATOTO WA KAWE

KAMA MBAYU NA IWE MBAYU TUMECHOKA NA HAWA WATOTO WA MAMA MDOGO KWA KWELI

TUNAHITAJI MTU AMBAE ANA HOFU NA MUNGU BUNGENI AMBAE AKIONA KUNA SHIDA SIOTU KUSEMA ANAANZA KUMWOMBA ROHO MT AMWONYESHE NN CHA KUONGEA KUWEKA SAWA MAENDELEO YA NVHI YETU

NAOMBA WAH WOTE MSIKOSEE KWA HILI TUNATAMA KUFANYA MAGEUZI MAKUBWA KAWE

MUMGU AWABARIKI
MUNGU AMBARKKI ASK GWAJIMA
Sema hujaweka hata picha akiwa ndani ya green sare
 
Kajifunze kwanza kuandika alafu ndio uje na story zako kuhusu Gwajima.
Kawe mbunge wetu anajulikana Halima Mdee.
 
hii coment yangu ni ya kuweka record vizuni kwamba huyu bwana atakuwa mbunge wa hilo jimboiwapo tu chama hiko kikiridhia
 
Back
Top Bottom