Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Iwapo atapata ridhaa ya CCM na kupitishwa kuwa mgombea wa pekee kupitia CCM katika jimbo la Kawe nitampa siri ya yeye Gwajima kushinda uchaguzi.

Kwa sasa ngoja tusimwage Mchele kwenye kuku wengi.
 
Sijui kama CCM watampitisha ila huyo jamaa ni popular huko makanisani ambao ndio wapiga kura.... nakushauri usipime kina cha maji kwa macho....

Wakatoliki hawataki hata kusikia jina lake wanakumbuka alivyomtusi Cardinal Pengo
 
Aminini kanisa litasambarstika atarudi kuwa mchawi huyo.
 
Wakatoliki hawataki hata kusikia jina lake wanakumbuka alivyomtusi Cardinal Pengo

Jamani sio vizuri kuanza kuleta maswala ya udini kwenye uchaguzi.

Kuendekeza mambo hayo hakuta tusaidia kuleta maendeleo!

Nashauri hivyo kama Raia Mwema !
 
Natamani mchakato wa kura za maoni ufanyike haraka ijulikane mbivu na mbichi mapema!
 
Kwani siku hizi bado kuna mchakato wa kura za maoni ?
Mnafahamu naomba tuelimishane !
 
Jamani sio vizuri kuanza kuleta maswala ya udini kwenye uchaguzi.

Kuendekeza mambo hayo hakuta tusaidia kuleta maendeleo!

Nashauri hivyo kama Raia Mwema !

Amekula Maharage ya wapi in Gwajima voice
 
Manabii/wachungaji uchwara wanajionyesha wazi. Mtumishi wa Mungu hasa hawezi changanya dini na siasa
 
Watanzania ni wanafiki kwenye lile box la kura hasa kura za maoni,wajumbe wanakutana usiku wanapewa hela afu kesho kura za maoni unachinjwa vibaya...afu jiwe ameonesha wazi anataka wasomi kwa sasa
 
View attachment 1494766

Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.

Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote.
Jamani amekimbia tena jimbo la kolomije
 
Huyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.

Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.

Mkuu mbona humsemi mchungaji Msigwa. Mchungaji aliyekubuu kwa uongo adi anaita press kukonfence dhambi ya uongo 🤪🤪🤪
 
Huyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.

Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.
Kamanda yamekua hayo? Zipo thread zako nyingi tu humu zikimsifu kwamba anajitambua
Ndio maana tunaamini tutawala.milele kwa sababu wafuasi wa upinzani hamna.misimamo,ni bendera fuata upepo
 
Mara paap Askofu Bagonza naye anagombea Kawe kupitia CHADEMA wakati huo Halima keshahakikishiwa kiti cha akina mama. Patanoga
 
Back
Top Bottom