Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Kwa chama gani?
Mbona CCM kuna watu wengi makini kwa nini wakubali haya mambo ya Msigwa na Gwajima?
Nawaheshimu nawaomba waendelee na huduma na wito wao kiroho.
 
Huyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.

Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.
Sijui kama CCM watampitisha ila huyo jamaa ni popular huko makanisani ambao ndio wapiga kura.... nakushauri usipime kina cha maji kwa macho....
 
Naamini sana maneno yako
Akifika Bungeni Akili itakuwa kama ya cyprian Musiba, le mutuz, kibajaji na Msukuma ukiingia CCM moja kwa moja unapungukiwa na uwezo wa kufikiri
 
View attachment 1494766

Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.

Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote.
Ni sawa tu kwa maana tumeshaambiwa "amani ya nchi ipo chini ya kanisa" nani apinge!?
 
gwaji anatia maguu mapema mno bungeni yule dada kichaa ajiandae kisaikolojia
Unaumwa mavi wewe! Halima anashinda asubuhi na mapema. Kawe watu wanajitambua sana. 2015 tulimpiga chini mgombea wa ccm pamoja na figisu zote mlizoleta
 
Huyu aliyerekodi video ya ngono na kondoo wake,wakamblackmail na akaingia kingi hapati ubunge ng'oo,tutautangazia umma matendo yake hayaendani na anachokihubiri ni mzinzi.
 
Angekuwa mgombea binafsi ningemuunga mkono.

Sasa kama mtumishi wa kanisa unakuwa kwenye Chama fulani utawapenda wahasimu /wapinzani wako?.

Ila huyu jamaa waumini kawaweka mfukoni.

Siku anatangaza kuunga mkono upinzani waumini wote wakaingia CHADEMA na siku aliyosalimu amri kwa Bashite baada ya maombi yake ya kishenzi ya kumng'oa madarakani kugonga mwamba nao waumini wote wakarudi CCM.

Nafanya kazi na waumini 2 wa Gwajima, aisee jamaa wapo kama wapumbavu fulani kichwani
Jiongeze wewe yule kawaloga hao watu wake
Mzee wa dawa
 
Bora yale makelele yake yaishe sasa, kaona kijiwe cha dini hakilipi tena sasa anahamia kwenye siasa, yule jamaa wa Tanganyika Packers siku hizi anachukua wateja wao wote.

Halafu wako vipofu wanaomuita baba yao wa kiroho, nahamu aseme ni andiko gani linalosema unaweza kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, yule wa duniani na wa mbinguni?!

Jamaa aache usanii.
Wale wehu hawasemi anachanganya dini na siasa???
 
Acha tuone mtumishi wa MUNGU na mpenzi wa jinsia moja Nani atashinda huu mpambano [emoji23]
 
Back
Top Bottom