Akiingia Kwa ticket hiyo hayo maswali atamuuliza Nani? Yale yale ya Mikocheni yanarudiKatika watu niliokuwa natamani siku moja aingie bungeni ni Gwajima.
Anakuaga na point sana za maswala mbalimbali yahusuyo nchi coz ana exposure kubwa ya nje.
Iringa upo,Kawe upo,Mbeya mjini upo,Buhigwe upo,Ubungo upo. Unapigaje kura kote huko!!??Zamu hii Kawe tunachagua chama siyo mtu!
Kwahiyo Halima ameondoka?Kwa ushawishi wa Gwajia Hata akigombea kuwa ticket ya TLP anashinda
Katika watu niliokuwa natamani siku moja aingie bungeni ni Gwajima.
Anakuaga na point sana za maswala mbalimbali yahusuyo nchi coz ana exposure kubwa ya nje.
Dunia ina mambo.
Kikatiba yuko sahihi kabisa.
Kiuhalisia hata ccm hawawezi kumpitisha labda viti maalum.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumpigia kura gwajima kua mbunge wake.
Labda wale wapenzi wa pornograph ndo watamchaguaKwa ushawishi wa Gwajia Hata akigombea kuwa ticket ya TLP anashinda
Gwajima alisema yeye ni zaidi ya mbunge na kwamba hana mpango wa kugombea ubunge imekuwaje tena mbona amekuwa mtu wa kauli mbili!
Iringa upo,Kawe upo,Mbeya mjini upo,Buhigwe upo,Ubungo upo. Unapigaje kura kote huko!!??
Mkiambiwa mnaiba kura,mnasema mnatukanwa. Ushahidi ni maandishi yako hapa JF.
[SUP]Wakina Askofu Moses Kulola wangekuwa na tamaa kama hawa wajasiriamali wa kiroho wa siku hizi, basi neema ya wokovu isingekuwepo kubwa Tanzania kama ilivyo leo hii.[/SUP]