Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kumbe na CCM waliandamana?Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisanikwani ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne.