idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Sikiliza video yake usipende kutafuniwa kila kitu.Umenifanya nisome upya hapo juu. Wapi rais katukanwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza video yake usipende kutafuniwa kila kitu.Umenifanya nisome upya hapo juu. Wapi rais katukanwa?
Kwa maelezo yako basi hata Mdude Chadema ni Askofu ndio maana hakukamatwa aliporoka hadharani na kumkosea heshima Mama akiwa kwenye jukwaa la Chadema.Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Labda kama sikusikia vizuri lakini alikuwa anaelezea tukio la yule Afisa Elimu Arusha ambaye clip yake imezagaa mtandaoni akiwa ana fake kuchanjwa hadi ikapelekea waziri mwenye dhamana kutoa tamko hali iliyopelekea kusimamishwa kazi kwa Nurse na Afisa huyo...mimi sijaiona video.
..lakini kama kinachoripotiwa ni kweli basi Gwajima amevuka mpaka.
..kudai kwamba viongozi wamechomwa chanjo feki ili kuwalaghai wananchi ni tuhuma nzito.
..na kama tuhuma hizo si za kweli basi Gwajima atakuwa amekashifu na kutukana.
Kuna walichofanya sio itokee tu bila sababu,kwani hao viongozi wa chadema wameanza kushtakiwa sasa? mbona hatujasikia lolote siku zilizopita hapo mahakamani...mfano, chadema.
..polisi walikwenda na mbwa kutawanya kongamano la Chadema.
..Je, huo ni uungwana?
..Tumeshuhudia watu waliovalia kiraia na kubeba silaha wakiwapiga na kuwakamata wafuasi wa Chadema mahakamani?
..Je, huo ni uungwana?
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"
Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!
My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
Wewe umethibitisha uhalali na ubora wa the so called chanjo waliyoichoma?Uhuru ni wa maoni sio facts, huwezi kusema soda za Coca Cola zina sumu halafu useme ni uhuru wa maoni.
Kusema viongozi wamechoma chanjo feki ni factual matter. Akitakiwa athibitishe ataweza?
Tuoneshe hilo tusi tu basi.
Huyo kilichompata ni kama anaangaika tu kutaka kumpa mtu lawama ndio maana hawaangaiki naye tena.Kwa maelezo yako basi hata Mdude Chadema ni Askofu ndio maana hakukamatwa aliporoka hadharani na kumkosea heshima Mama akiwa kwenye jukwaa la Chadema.
acha kuaibisha waislam wenzako pimbi weweNchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Pimbi mimi au huyo mpumbavu mwenzako unayemtetea! Alivyokuwa msukuma mwenzake kila kitu alikuwa anasifia kama shoga anayemsifia bwana wake.acha kuaibisha waislam wenzako pimbi wewe
Kuna walichofanya sio itokee tu bila sababu,kwani hao viongozi wa chadema wameanza kushtakiwa sasa? mbona hatujasikia lolote siku zilizopita hapo mahakamani.
Hizo ni tuhuma - inaweza kuwa kweli au isiwe kweli...Tusi au kashfa siyo lazima mtu akwambie lile neno baya kwa mama zetu.
..Mimi nikisema wewe umefanya jambo fulani la hovyo wakati hujafanya jambo hilo bila shaka nitakuwa nimekutukana / nimekukashifu.
..Kama Gwajima amesema viongozi wamechomwa feki ili kuwachota wananchi, bila shaka amemaanisha viongozi ni waongo, wahuni, walarushwa, mafisadi, malaya, wauwaji, na sifa nyingine mbaya.
..MSISITIZO: Kama viongozi hawajachoma chanjo feki basi Gwajima amekashifu na kutukana.
Wanastahili, kwani wao nani...labda hufuatilii.
..lakini sio mara ya kwanza kuwepo na vitendo vya kinyama dhidi ya chadema.
..hivi unaamini kwamba chadema wanastahili kutawanywa kwa kutumia MBWA?
Labda kama sikusikia vizuri lakini alikuwa anaelezea tukio la yule Afisa Elimu Arusha ambaye clip yake imezagaa mtandaoni akiwa ana fake kuchanjwa hadi ikapelekea waziri mwenye dhamana kutoa tamko hali iliyopelekea kusimamishwa kazi kwa Nurse na Afisa huyo.
Kwahiyo hapo ndo akaeleza kuwa lengo la huyo kiongozi ilikuwa ni nini kama siyo kuja kuanza kuwahamasisha wananchi kuchanja alimhali yeye hakuchanja.
Hizo ni tuhuma - inaweza kuwa kweli au isiwe kweli.
Nyie mnaosema ni tusi tuonesheni hilo tusi.
Lakini pia tuhuma zinaweza kuwa za kweli au la, mtuthibitishie uongo wa Gwajima.
Duh ! We jamaa una visa kweli! Ha ha ahahaaa!Haaaaah! AmmmahView attachment 1893260