Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na adabu, msukuma/wasukuma wanahusika vipi katika hoja zenu ?Pimbi mimi au huyo mpumbavu mwenzako unayemtetea! Alivyokuwa msukuma mwenzake kila kitu alikuwa anasifia kama shoga anayemsifia bwana wake.
hembu onyesha tusi alilotukanwa raisNchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Kwani yule Afisa Elimu wa Arusha ambaye mpaka amesimamishwa kazi ni uongo? Tatizo lenu mnamajibu tayari ya viongozi wengine!!
Ukiwa madarakani kwa wizi wa kura lazima udharauliwe.hii nchi ni kama hatuna amir jesh mkuu,
dharau zimezidi sasa
Hata wapinzani pia wako huru kuongea. Tundu Lissu na Zito ni mfano halisi.Hii freedom of speech mbona haipo kwa wapinzani
Wewe ulimuona Freeman Mbowe akichanjwa!..serikali imekwisha wakana maofisa walioigiza Arusha.
..Gwajima anatakiwa aje na ushahidi mwingine usiotiliwa mashaka.
..Au labda awa-present wale maofisa wa Arusha waseme kwamba walitumwa na serikali.
Ukishindwa kujiani utayumba sana. Jiamini na toa maamuzi sahihi. Usitumie akili za kuambiwa peke yake, ongeza na za kwako. Jiamini na amua maamuzi sahihi.Sasa aaminiwe nani!?
RAIS, KAKOBE au GWAJIMA (GWAJIBOY)????
Wewe ulimuona Freeman Mbowe akichanjwa!
Wacha kudanganya watu wewe, umechanjwa chanjo ngapi tangu ulipozaliwa mbona unaendelea tu na maisha?Na bado kila mwaka sasa itabidi uchanjwe la sivyo itabidi ufe tu hata na ugonjwa wowote kwa kuwa immunity yako ya asili umeshaiharibu mkuu. Pole sana!
Wewe unaelewa nini maana ya viongozi waliodanganya wamechanjwa kumbe ni Fake?Wapi katajwa rais?
Mbowe ndiye anataka wananchi wachanjwe kwa lazima wakati yeye hatujamuona popote akichanjwa!..Nimewaona Rais SSH, Spika Ndugai, na Waziri Mkuu Majaliwa, wakichanjwa.
..Pia nimemsikia IGP Sirro akisema kuwa yeye amechanjwa.
..Gwajima anatakiwa awaeleze wananchi aliyechanjwa feki ni Samia, Ndugai, Majaliwa, au Sirro.
Gwaji Boy ana ushahidi wa kutosha.Gwajima amesikika ndani ya kanisa lake akitoa kauli hiyo yenye tuhuma nzito, kwamba kuna viongozi wa Tanzania waliodanganya umma kwamba wanachanja kumbe si kweli, ili iwe chambo ya wananchi wengine kujitokeza kuchanja.
Hii si kauli ndogo , kuna msemo kwamba "mbwa akikuzoea sana iko siku atakufuata msikitini" sasa ni vema serikali ikanushe jambo hili au imtake Gwajima athibitishe kauli yake ili kulinda heshima ya viongozi wa nchi waliochanjwa.
Unaongelea mambo ya udini sasa. Udini hauna nafasi katika nchi hii.Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Samia na majaliwa ndio wamechanja chanjo Fake dunia nzima imeona. Askofu uchwara gwajima kasema.Mbowe ndiye anataka wananchi wachanjwe kwa lazima wakati yeye hatujamuona popote akichanjwa!
Hapo sasa huyu angekuwa John Mnyika Wa Chadema angekuwa amepewa kesi ya ugaidiView attachment 1893352
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"
Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!
My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
Nileteeni Gwajimaaa! Kumbuka gwajiboy ni mchunga kondoo sasa unataka anyamaze kwa kondoo wake?Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.