tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Huyu tapeli Gwajima ngoja amkaange mama hadi akili zimkae sawa. Haya ndio madhara ya kuchanganya dini na siasa. Kura walizoiba mwaka 2020 sasa zimeanza kuwaehua. Na huyu Gwajima atakuwa amekumbwa na PEPO la wizi wa kura.View attachment 1893352
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"
Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!
My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.