Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Anajifanya ana msimamo Kumbe ni uongo mtupu. Eti habadiliki badiliki.Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Wewe maiti utaishi milele.Angekuwa na nguvu angekufa?? Mfuate chato mzoga mwenzako
hamna kitu kama hicho kijana mdogoMstari Unaoigawa Ccm Ni Mwembamba
Kutoka ibadani!Sasa mnamlisha maneno Gwajiboy.
Weka clip.
watu kama hawa ni kutupa kuleAnajifanya ana msimamo Kumbe ni uongo mtupu. Eti habadiliki badiliki.
Alidai Corona haiji, ikaja.
Akadai anaweza kuwaponyesha wagonjwa akashindwa. Akaishia kujifukiza.
Sasa ngoja tuone ataishi a wapi kwa hili la chanjo. Jamaa haaminiki huyu. Ni muongo wa kuzaliwa. Aliwadaganya waumini wake ANAWALETEA train na wana Kawe kuwa at awapeleka Birmingham...!!
Askofu wa wajinga.Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
well saidRubbish Gwajiboy, hukuchaguliwa na Yeyote. Wa kumshukuru Ni Mwendazake kwa kukupa Ubunge wa dhuruma kwa Halima Mdee.
cku utakaposema unaenda kuchanja ndio unakuta ya mashoga sasa!!Ndio ndio...mimi nasubiria kwanza baada ya mwaka nione impact ya chanjo...wazungu wanaweza kukugeuza shoga
Huyu hakuchaguliwa bali alipewa Ubunge na yule dhalim aliyeko motoni sasaAskofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hehehehehehe unashangaa unachanjwa alaf jogoo analala mazimacku utakaposema unaenda kuchanja ndio unakuta ya mashoga sasa!!
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ni hiyari yenu na afya za kila mmoja wenu peke yake. Lakini uamuzi huo hautasaidia kukufanya bora au maarufu zaidi.Dominika ya Kupalizwa kwa Bikira Maria.
hatuchanji ng'oooo!
Wale wapangaji wa 'police line'?Wakazi wa Kawe!