#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

CHANJO NI HIARI, SIO LAZIMA

KAMA HATAKI NI HIARI YAKE
HALAFU KWA NINI VITISHO KWA JAMBO AMBALO NI HIARI AS LONG AS TAHADHARI ZA KUJIKINGA ZINACHUKULIWA
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Anajifanya ana msimamo Kumbe ni uongo mtupu. Eti habadiliki badiliki.

Alidai Corona haiji, ikaja.

Akadai anaweza kuwaponyesha wagonjwa akashindwa. Akaishia kujifukiza.

Sasa ngoja tuone ataishi a wapi kwa hili la chanjo. Jamaa haaminiki huyu. Ni muongo wa kuzaliwa. Aliwadaganya waumini wake ANAWALETEA train na wana Kawe kuwa at awapeleka Birmingham...!!
 
' Kama alichanja isisikike mahali popote kuwa ameanguka' Dr alieishiwa nguvu na kumsingizia ana sukari kumbe sababu ni chanjo. Akili za kuambiwa ....
 
Anajifanya ana msimamo Kumbe ni uongo mtupu. Eti habadiliki badiliki.

Alidai Corona haiji, ikaja.

Akadai anaweza kuwaponyesha wagonjwa akashindwa. Akaishia kujifukiza.

Sasa ngoja tuone ataishi a wapi kwa hili la chanjo. Jamaa haaminiki huyu. Ni muongo wa kuzaliwa. Aliwadaganya waumini wake ANAWALETEA train na wana Kawe kuwa at awapeleka Birmingham...!!
watu kama hawa ni kutupa kule
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Askofu wa wajinga.
 
Mpuuzi tu huyo hana lolote asubiri kibali kanisa kinabuma na ubunge kwa heri....
 
Wanakondoo wanapigiwa miruzi mingi sana MUNGU ni Mwema atawaokoa watu walio wakwake.

Tuliambiwa Mungu hunena KUPITIA hawa Viongozi sasa imefikia wakati Mungu anene moja kwa moja kwa wanakondoo wake na huu ugonjwa uwe fundisho kama wanaongea UONGO basi na mambo Yao yote waliyowahi kutufundisha itakuwa ni UONGO na kinyume chake.
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huyu hakuchaguliwa bali alipewa Ubunge na yule dhalim aliyeko motoni sasa
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Drama king 😂😂
 
Ccm sometimes huwa naidharau kwa mambo kama haya, msimamo wa serikali kuchanja n hiari, lakini vidampaa wa ccm mnaibua agenda sjui mmepewa kutoka kuzimu
 
Malipo ya Mtu kama huyu ni corona imtandike kisawasawa ndio akili imkae sawa.
 
Back
Top Bottom