Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kanisani pana hela nyingi sanaHuo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.
Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.
Wiki hii ya kesho haitoisha.
Mbona hawa wasukuma wana misimamo mizito hivyo....?Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mambo hayako hivyo broo, ikiwa dunia nzima ikikosea halafu mmoja akapatia ?Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Naisubiria hiyo 2025, pakija kuchimbika lawama zote ni kwa viongozi wa sasa kwani wameyaona haya budi warekebishe hizi kasoro mapema.Wawafukuze tu wananchi tumeshamuelewa hawa ndo wanamuenzi Magufuli kwa vitendo aliyesema Chanjo hazifai.
2025 tuna letu Jambo,ndo watajua nguvu ya JPM japo alipitiwa na Israel akamtwaa.
Mpaka uwe na chanzo cha kupatia ugali mwingine, ndio unakuwa mwanaumeHuo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.
Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.
Wiki hii ya kesho haitoisha.
Huyu Gwajima kwa hili Anna watu...kwa utafiti wangu usio wa kisayansi asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanamuunga huyu Gwajima kwa suala hili la chanjo....
Wanachunwa kwa hiari,tozo tozo unachunwa kwa lazimaAngewaambia"Nitarudi hapa kwa mabwege nazi wangu kuendelea kuwachuna vihela vyenu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani hiyo asilimia inazidi kushuka siku hadi siku. Kwenye group langu la whtsapp watu walikuwa hawataki kabisa kusikia kuhusu chanjo. Mimi niliwaweka wazi kuwa nimeshachanja na nilikuwa nawajibu hizo hoja za Gwajima plus na baadhi ya clip mbalimbali za wataalamu. Kidogo kidogo wakaanza kuelimika. Hivi sasa kuna watu zaidi ya kumi wameshachanja na wengi zaidi wameahidi kuchanja wakipata nafasi.Huyu Gwajima kwa hili Anna watu...kwa utafiti wangu usio wa kisayansi asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanamuunga huyu Gwajima kwa suala hili la chanjo....
Huyu askofu ni CHIZI na analelewa na CCM kwa kuwa akili zao zote zinafanana. Mtu hawezi kumpinga Rais hadharani halafu akaachwa bila kushughulikiwa. Hata kama Gwajima ni mfuasi wa Magufuli, hawezi kumkosea adabu mama Samia kiasi hiki halafu akaachwa tu anadunda mitaani. Kama Tundu Lissu alinusurika kifo kwa kumpinga Rais, huyu Gwajima anasubirishwa nini???Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kwani huo ubunge nani alimlazimisha kugombea si alienda kugombea na akasaidiwa na mwendazake kushinda kwa sababu ya njaa zake binafsi? Asitutishe.Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
.kuu duniani kuna wanaume wengi sana mashoga na wanaona Sana, je hiyo inahalalisha wewe pia kuwa shoga?Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Nashangaa jitu chumiatumbo kama hili linajiita Askofu na watu wanaliamini wakati limeshiriki wizi wa kura na mwendazake na likaingia bungeni kwa kura za maruhani. Limelaaniwa.Alishinda kwa kura za wananchi?mpuuzi huyu,alipewa na Magufuli hakushinda.Mtumishi tena askofu unashiriki wizi,kweli kufika mbinguni kazi
Tanzania tangu chanjo izinduliwe tarehe 4 August, ni watu laki 2 na ushee tu kati ya chanjo 1,084,000 zilizoletwa nchini.Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Hayuko peke yake hata Mimi sitaki chanjoHuyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Mkuu msigombane bure, hata kama yeye ni shoga na anajiita mtumishi wa Mungu, muache Mungu mwenyewe atamshughulikia. Na hata akijiuzuru ubunge hiyo ni shauri yake..kuu duniani kuna wanaume wengi sana mashoga na wanaona Sana, je hiyo inahalalisha wewe pia kuwa shoga?
Umechanja??Sasa naamini ni kweli Fl. Mbcxsha alitafunwa na huyu Gwajiboy pornstar Kinyonga.
Hata ile clip.nyingine iliyofichwa ni yeye.
Kenge sana. Kwani asipochanja yeye ndio mwisho wa dunia !!!