Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

Waumini ambao Ni wafuasi wa chadema na wanasali kwa Gwajima sijui watajiskiaje... Huu Ni uchonganishi mbele ya Mungu.

Gwajima asichanganye ya Kaisari na Dini maana atapoteza waumini...
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Ndiyomaana video yake ilivuja akilitoboa papai kwa viuno mgando
Kipindiki kile anamshambulia Makonda, huku mkikata viuno hadi mnakodi magari mkusanyane mwende kusikiliza ubuyu,

Wengine tukasema Gwajima ajikite kuhubiri injili aacha mambo ya siasa.
Leo kawageuka mmekuwa kma popo sasa.

By the way, hivi unajua Gwajima ndio alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo leo kaachana na siasa?
 
Askofu tunamueshimu kwa utumishi wake, CHADEMA wametoa maoni yao na silazima kufunga makanisa.
Ni bora kufunga mabaa na vituo vya starehe maana mtu akishalewa ni vigumu kufuata masharti, kanisani ni rahisi kufuta masharti.
Bshp aache ushabiki washirika wake wengi CHADEMA asiegemee upanda na ukabila, tunamuheshimu!!
 
Kipindiki kile anamshambulia Makonda, huku mkikata viuno hadi mnakodi magari mkusanyane mwende kusikiliza ubuyu,

Wengine tukasema Gwajima ajikite kuhubiri injili aacha mambo ya siasa.
Leo kawageuka mmekuwa kma popo sasa.

By the way, hivi unajua Gwajima ndio alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Gwajima ndiye aliyemfanya Slaa akaja kwenu na mkampa Ubalozi.
 
U nailed it mzee baba.

Tumbo kwanza.
Kuongozwa na tumbo ndio kumemfanya yule bwege anaevaa tai za bendera kulamba shavu baada ya kutusaliti kifikra watanzania wenzake na kuungana na fikra za Stone Cold wa jiji la miamba 🤣🤣🤣
 
Kipindiki kile anamshambulia Makonda, huku mkikata viuno hadi mnakodi magari mkusanyane mwende kusikiliza ubuyu,

Wengine tukasema Gwajima ajikite kuhubiri injili aacha mambo ya siasa.
Leo kawageuka mmekuwa kma popo sasa.

By the way, hivi unajua Gwajima ndio alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe mtu akisema jambo la hovyo utamshangilia kwasababu awapo awali aliwahi kusema jambo lililokufurahisha??
Papai bichi wewe.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Source: You tube
Gwajima - hata Gertrude Rwakatare naye alikuwa anaongea mbofumbofu hivi hivi.

RIP in advance!
 
Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?
Maisha yanaenda kasi sana. Nakumbuka sio muda mrefu jamaa aliwaita pale kanisani kwake awape ishu za bashite na mlijaza kanisa kugombea siti za mbele na kusema JAMAA ANAJIELEWA SANA...
 
Back
Top Bottom