Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Comrade leo mmepima mafenesi mangapi?Vipi hata kipindi kile akijiiita mshenga wa Lowasa ulikuwa unamjibu kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comrade leo mmepima mafenesi mangapi?Vipi hata kipindi kile akijiiita mshenga wa Lowasa ulikuwa unamjibu kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata wkt anaenda Nyumbani kwa Dr.Slaa na akakuta amefungiwa nje ya nyumba na mkewe na akalala kwny gari mpk asubuhi nilisema hivi hivi.Vipi hata kipindi kile akijiiita mshenga wa Lowasa ulikuwa unamjibu kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Manka bado sijaelewa,nipe ufafanuzi kidogo.Bwashee umeelewa hoja yake lakini?!
Kipindiki kile anamshambulia Makonda, huku mkikata viuno hadi mnakodi magari mkusanyane mwende kusikiliza ubuyu,Ndiyomaana video yake ilivuja akilitoboa papai kwa viuno mgando
Mmeshashindwa katika jina la Yesu....... by askofu Gwajima!Ndiyomaana video yake ilivuja akilitoboa papai kwa viuno mgando
U nailed it mzee baba.Hoja yake ni kutetea sadaka tu deepdown. Wote wanaotaka ku jeopardize hilo atawaona wachawi tu hata kama ana risk maisha ya watu!
Kwahiyo leo kaachana na siasa?Kipindiki kile anamshambulia Makonda, huku mkikata viuno hadi mnakodi magari mkusanyane mwende kusikiliza ubuyu,
Wengine tukasema Gwajima ajikite kuhubiri injili aacha mambo ya siasa.
Leo kawageuka mmekuwa kma popo sasa.
By the way, hivi unajua Gwajima ndio alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Gwajima ndiye aliyemfanya Slaa akaja kwenu na mkampa Ubalozi.Kipindiki kile anamshambulia Makonda, huku mkikata viuno hadi mnakodi magari mkusanyane mwende kusikiliza ubuyu,
Wengine tukasema Gwajima ajikite kuhubiri injili aacha mambo ya siasa.
Leo kawageuka mmekuwa kma popo sasa.
By the way, hivi unajua Gwajima ndio alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongozwa na tumbo ndio kumemfanya yule bwege anaevaa tai za bendera kulamba shavu baada ya kutusaliti kifikra watanzania wenzake na kuungana na fikra za Stone Cold wa jiji la miamba 🤣🤣🤣U nailed it mzee baba.
Tumbo kwanza.
Kwa hiyo wewe mtu akisema jambo la hovyo utamshangilia kwasababu awapo awali aliwahi kusema jambo lililokufurahisha??Kipindiki kile anamshambulia Makonda, huku mkikata viuno hadi mnakodi magari mkusanyane mwende kusikiliza ubuyu,
Wengine tukasema Gwajima ajikite kuhubiri injili aacha mambo ya siasa.
Leo kawageuka mmekuwa kma popo sasa.
By the way, hivi unajua Gwajima ndio alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Papai bichi hiloMmeshashindwa katika jina la Yesu....... by askofu Gwajima!
Gwajima - hata Gertrude Rwakatare naye alikuwa anaongea mbofumbofu hivi hivi.Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Source: You tube
Hahahaaaa........... Mbowe amemwelewa kesho wanarejea bungeni!Hapana Manka bado sijaelewa,nipe ufafanuzi kidogo.
Maisha yanaenda kasi sana. Nakumbuka sio muda mrefu jamaa aliwaita pale kanisani kwake awape ishu za bashite na mlijaza kanisa kugombea siti za mbele na kusema JAMAA ANAJIELEWA SANA...Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?