Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
gwajima kaona maslahi yake ya sadaka yanataka kuguswa hivyo lazima povu limtoke maana hana kitega uchumi kingine zaidi ya hizo sadaka
 
Baada ya Lowassa kuondoka CDM naye saiv kabadili upepo na kuamua kuwavaa CDM kweli?
 
Back
Top Bottom