chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Yule mwanamke yuko wapi kwasasa??Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?
gwajima kaona maslahi yake ya sadaka yanataka kuguswa hivyo lazima povu limtoke maana hana kitega uchumi kingine zaidi ya hizo sadakaMambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Chanzo: You tube
ndg yangu sasa mchungaji asipokula kondoo wake unataka waliwe na nani wakati yeye ndiye mchungaji??,binafsi huwa napenda kula mifugo yangu kwa sababu nahudumia kila kituHuyo tangu aanze kuwala kondoo wake akili zimemruka.
Laana ya uzinzi
hapana yupo sahihi mnoGWAJIMA KWA HILI AMEPOTOKA!
AMEJIDHIHIRISHA JINSI GANI AMEWEKA SADAKA MBELE KULIKO UHAI WA WAUMINI WAKE!
AMETOKA KUWA MTUMISHI WA MUNGU NA KUWA MTUMISHI WA SHETANI!
TIME WILL TELL