masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mimi si askofu!We hujawahi kuongea uongo
Hilo jamaa liongo kama kaka yake aliefariki.Sijui wapoje kanda ileView attachment 2051012
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi!!!!
Ukiwa askofu ndio haswaa usiongope.Dhambi ya uongo haina cha askofu.
Tubu.
HapanaWe hujawahi kuongea uongo
Gwajima Helicopter anayo ipo apo JNIA labda Kama ameiamisha. Kuhusu uongo siwezi kuongeza au kupunguza maana Mungu ndie anajua ukweli wa Mwanadamu.View attachment 2051012
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi!!!!
Kwa jibu hili tu, umekosa audacity ya kuita wengine waongo...Mimi si askofu!
Mkuu kwa vile wewe unaongopa basi Askofu yeyote kusema uongo ni ruksa, part of the game, au siyo?Kwa jibu hili tu, umekosa audacity ya kuita wengine waongo...
Umesahau na kuwaletea wana kawe treniView attachment 2051012
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi!!!!
Siyo mbunge au siyo kiongozi wa wananchi.We hujawahi kuongea uongo
Gwajima ni msanii tosha naona kama huo ubunge alilazimishwa tu kupewaWe hujawahi kuongea uongo
Nakuona Mnyakyusa kwenye ubora wako.Mimi si askofu!
Heshimu Viongozi wa Dini mbona Wanasiasa wote ndivyo walivyoView attachment 2051012