Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

Mbona hii ni vita ya man to man una interest gani na hichi kichwa cha baba askofu gwajiboy... Shida fake ID kama unao uwezo nenda pale madhabahuni ukamwambie unayoyasema hapa
Mmeshikwa korodani!
 
Mwambieni Gwajima alete treni aliloahidi!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Wewe dogo utulie mwenzako yupo mbali sana, kushindana nae ni sawa sawa na kuchota maji ya bahari kwa kijiko kuyahamisha
 
Hilo jamaa liongo kama kaka yake aliefariki.Sijui wapoje kanda ile
Acha mambo ya kishamba mzee:
Hii kanda ndio inayoongoza kutoa viongozi makini na wenye weledi wa kuliongoza taifa huru mpaka nchi ya ahadi

NB;Tuwe wazalendo kwa taifa letu bila kuangalia vyama vyetu
 
Kwa akili zako zilivyo lazima uamini kuwa anaweza kuwapeleka wana kawe Birmingham, shida haipo kwa askofu shida ni kwa nyie akili zenu zinapokea kila kitu na kuamini ndiyo maaa CCM huwa ni rahisi sana kuwadangany watu wa sampuli yako
Halafu uko Bingham unaenda kufanyaje? Nadhani watanzania tuna itaji msaada sana.
 
Askofu Gwajima sio mtu wa kawaida mtoa post kuwa makini shauri lako.
 
Kawe tumechelewa sana you know!
Wapinzani wametuchelewesha sana guys!
Kawe haikuwa na msemaji guys
 
Kwani nini kimebadilika sasa, hatuoni miradi ya barabara wala chochote.
Jamaa anachoongea na waumini wake anakijua mwenyewe.
Hahahaha . Nimenukuu maneno ya kina lemutuz.
Nakaa Ktk jimbo la kawe . Kiukweli hakuna kilichobadilika pale
 
View attachment 2051012

Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.

Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.

Uongo mwiingi
Vipi kuhusu tundu lisu, lema na rwaitama?
Hao hujawachoka?
 
nipeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nipeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

haya mmepewa lakini bado mnalalamika nyie watu bana, lipi jema kwenu
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Wewe dogo utulie mwenzako yupo mbali sana, kushindana nae ni sawa sawa na kuchota maji ya bahari kwa kijiko kuyahamisha
Tunataka treni tu aliyoahidi kwa mdomo wake, wala hakulazimishwa kutoa ahadi.
Kiki za uongo sasa zinamtokea puani.
 
nipeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nipeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

haya mmepewa lakini bado mnalalamika nyie watu bana, lipi jema kwenu
 
View attachment 2051012

Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.

Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.

Uongo mwiingi
Laana ya kutafuna kondoo wake na kubunja ndoa ya Emmanuel Mbasha inamtafuna huyu changono

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom