Kila tukiwaambia chadema mmeishiwa sera na mmekufa kisiasa mnabisha!
Yaani chama ambacho kuanzia mwenyekiti,Makamu mwenyekiti, wabunge na makada woote mnakosa hoja mnabaki kusengengenya watu na matukio mitandaoni. majungu
Kuna hoja nyingi za msimgi kitaifa za kero kwa wananchi ambaxo kama mnajinasibu chama makini mlitakiwa kuzipandisha kwa wananchi kwa sasa.
Lakini nyinyi mnapokezana umbea na majungu kutwa kucha.
Mna ubaya na kila mtu anaefikiri tofauti na nyinyi. Hamna staha ukimsikiliza Tundu lissu utadhani ni mtu anaongelea kijiweni kumbe makamu mwenyekiti kabisa....same thing kwa Lema,Heche,Msigwa,Mnyika,
Mrema,Sugu,Mdude...yaani woote mnapayuka payuka tu.
Ndio maana woote waliojitambua walikimbia mapema
Huku mitandaoni vijana wenu ni matusi tupu...sasa kwa nini hambadiliki?
Wananchi wanapowakataa ni halali yao,maana hamfanyi siasa safi bali fitna tupu.
Mnagombania riziki hadi mnaitana covid19 .
Mnakwama wapi?
Sasa hivi mnacheza muziki wa CCM mchana kutwa.mmesahau kwamba siku zinasonga?
Mkianza na Sabaya mnamaliza na Makonda mara Polepole mara mumshabikie Membe yaani hamjitambuwi.
Sasa naona mnahangaika na Gwajima.....hii haiwasaidii kitu zaidi ya kuwaongezea msongo wa mawazo ya kupigwa chini 2020.
Mnagombana hadi na maiti waliopumzishwa kaburini...yaani mnakera sana nyie jamaaa!