Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

View attachment 2051012

Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi!!!!
Kwani Huyo gwajima ni askofu au ni tapeli aliyejipa jina cheo cha askofu ?
 
Kuna uongo aliongea kuwa atajenga kanisa kubwa ambalo litasimama bila nguzo. Wehu wake wakampigia makofi
 
View attachment 2051012

Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.

Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.

Uongo mwiingi
Halafu wewe kiherehere cha kufuatilia uongo wake unakitoa wapi? Mwenzako Domokaya na wewe ni Masikiokaya! Ahahahahahahaha!!!
 
Inatakiwa wajifungie hekaluni wadanganyane mpaka wageuke rangi wawe bluu!
Wakiweka hadharani tutawapaka tu!
 
Domokaya unamfahamu lakini brand ya mtu hiyo akikushitaki usiombe povu
 
View attachment 2051012

Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.

Uongo mwiingi
Vitu vingine sio uongo, kama safari ya Birmingham, Marekani, bado ipo ila imekwamisha na Corona.

Corona ikiisha, sio tuu safari inaendelea, bali treni ya umeme inatua, jet inatua, latest model ta hummer, barabarani kwetu Kawe
P
 
Hujui huyo mchungaji ni jizi ? Kweli CCM ni kokoro
 
Uongo wake ni wa kiwango cha lami alooo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee...
Masikini watanzania, yaani anaongea haya mataputapu kwa wananchi wa Chato na zoba lile mwendazake likampa ubunge.....
No comment.....
 
Vitu vingine sio uongo, kama safari ya Birmingham, Marekani, bado ipo ila imekwamisha na Corona.

Corona ikiisha, sio tuu safari inaendelea, bali treni ya umeme inatua, jet inatua, latest model ta hummer, barabarani kwetu Kawe
P
Msukuma mwingine muongo huyu hapa.
 
Back
Top Bottom