Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

Kwani Huyo gwajima ni askofu au ni tapeli aliyejipa jina cheo cha askofu ?
 
Kuna uongo aliongea kuwa atajenga kanisa kubwa ambalo litasimama bila nguzo. Wehu wake wakampigia makofi
 
Halafu wewe kiherehere cha kufuatilia uongo wake unakitoa wapi? Mwenzako Domokaya na wewe ni Masikiokaya! Ahahahahahahaha!!!
 
Halafu wewe kiherehere cha kufuatilia uongo wake unakitoa wapi? Mwenzako Domokaya na wewe ni Masikiokaya! Ahahahahahahaha!!!
Inatakiwa wajifungie hekaluni wadanganyane mpaka wageuke rangi wawe bluu!
Wakiweka hadharani tutawapaka tu!
 
Domokaya unamfahamu lakini brand ya mtu hiyo akikushitaki usiombe povu
 
Vitu vingine sio uongo, kama safari ya Birmingham, Marekani, bado ipo ila imekwamisha na Corona.

Corona ikiisha, sio tuu safari inaendelea, bali treni ya umeme inatua, jet inatua, latest model ta hummer, barabarani kwetu Kawe
P
 
Hujui huyo mchungaji ni jizi ? Kweli CCM ni kokoro
 
Uongo wake ni wa kiwango cha lami alooo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee...
Masikini watanzania, yaani anaongea haya mataputapu kwa wananchi wa Chato na zoba lile mwendazake likampa ubunge.....
No comment.....
 
Vitu vingine sio uongo, kama safari ya Birmingham, Marekani, bado ipo ila imekwamisha na Corona.

Corona ikiisha, sio tuu safari inaendelea, bali treni ya umeme inatua, jet inatua, latest model ta hummer, barabarani kwetu Kawe
P
Msukuma mwingine muongo huyu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…