Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

Amesomesha marubani wanne ....nje ya nchi kwa miliion 120 kwa kila mmoja.

Kulingana na post yako inaonekana kuwa una chuki binafsi na gwajiboy.

Kama maisha yako yamekushinda kuyaendesha si lazima stress zako uanze kuzitoa kwa mfumo wa kuchanganyikiwa au chizi

Grow up
 
You are basically stupid!
Hebu uonyeshe treni kwa kuanzia!
 
Wewe inaonekana ni miongoni mwa misukule aliyofufua!
 
Watu wajinga wajinga hamkosi kuwepo katika jamii.
Mtu una mke na watoto, unakula ugali wako halafu unaenda kukubali upuuzi wa Gwajima kununua treni na kuizindua wiki inayofuata!

Na hiyo treni(sijui ni kichwa na mabehewa?) ataitembeza Kawe au TRC au TAZARA?
Mnaaminishwa vitu ambavyo hata haviingii akilini.
Jamaa hapo kakuita stupid, mimi nafikiri wewe ni idiot.
 
Toka kwa mume wa dada ako apo ww ...unakula na kulala bure huku dada ako anaikatikia ndani...

Kajitegemee ww mburula
 
Hawa akina Riyan ndiyo misukule ya Gwajima. Hayasikii kitu baada ya kuwa brainwashed. Yako tayari kutoa sadaka mpaka hela ya kula na nauli halafu menyewe yakashinda na njaa au kutembea kwa mguu, ilimradi Gwajima asomeshe mtu urubani
 
Heshimu Viongozi wa Dini mbona Wanasiasa wote ndivyo walivyo

Heshimu Viongozi wa Dini mbona Wanasiasa wote ndivyo walivyo
Hivi, Umeisoma hii kabla ya kupost. Huwezi kuwa kiongozi wa dini unayetaka heshima ukatamani kwenda kujichafua katika siasa zetu hizi za kiafrika.

Kama angeithamini heshima alitakiwa kujali kuwatumikia wanakondoo wake ambao ni wengi wanaomtii na kumheshimu kuliko kuonesha tamaa na kujikuza kwa kuamua kuongea uongo wa dhahiri, haikuwa na ulazima.

Hata hivyo Gwajima ni muongo Sana hata kabla ya kujiingiza katika siasa mifano ipo mingi.

Mwisho tutofautishe kuhukumu na kusema ukweli. Mtu anapoongea uongo wa dhahiri ukamwambia kuwa ni muongo si kwamba umemhukumu bali umemwambia ukweli. Hivyo tuache kuwatetea waongo wanapoambiwa ukweli kwa kivuli cha kuwa eti ni hukumu, la khasha.
 
Mbona hii ni vita ya man to man una interest gani na hichi kichwa cha baba askofu gwajiboy... Shida fake ID kama unao uwezo nenda pale madhabahuni ukamwambie unayoyasema hapa
 
Mimi si mwanachama wa chama cha siasa ila hapa kuingiza chama unatutoa kwenye mjadala maana anayejadiliwa hapa si chama, ila ni hivi;

Mimi mkazi wa Kawe napata shida Sana na hadi za uongo wa mbunge wangu na sasa Ndiyo naanza kuzifuatilia na hakuna alizotekeleza.
 

Kwa akili zako zilivyo lazima uamini kuwa anaweza kuwapeleka wana kawe Birmingham, shida haipo kwa askofu shida ni kwa nyie akili zenu zinapokea kila kitu na kuamini ndiyo maaa CCM huwa ni rahisi sana kuwadangany watu wa sampuli yako
 
Alipata umaarufu kwa kusema atamfufua Amina Chifupa.. imagine that
Na Leo ni mbunge..
Taifa la wapumbavu hili
Na wewe The Boss mkongwe unamiskiliza gwaji na kuamini kila kitu , shida ni nyie mnaotega sikio na kuamini kila kitu na kupiga ndiyo mnatabu sana
 
Kwa akili zako zilivyo lazima uamini kuwa anaweza kuwapeleka wana kawe Birmingham, shida haipo kwa askofu shida ni kwa nyie akili zenu zinapokea kila kitu na kuamini ndiyo maaa CCM huwa ni rahisi sana kuwadangany watu wa sampuli yako
Mwambieni Gwajima alete treni aliloahidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…