masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
-
- #81
Mmeshikwa korodani!Mbona hii ni vita ya man to man una interest gani na hichi kichwa cha baba askofu gwajiboy... Shida fake ID kama unao uwezo nenda pale madhabahuni ukamwambie unayoyasema hapa
Shida unajiona wewe ni mtakatibu, wakati una madhambi yako na mapepo ya ngono unatakiwa uombeweeMmeshikwa korodani!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Wewe dogo utulie mwenzako yupo mbali sana, kushindana nae ni sawa sawa na kuchota maji ya bahari kwa kijiko kuyahamishaMwambieni Gwajima alete treni aliloahidi!
Birmingham ni uingerza sio marekani mkuuView attachment 2051012
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi
Acha mambo ya kishamba mzee:Hilo jamaa liongo kama kaka yake aliefariki.Sijui wapoje kanda ile
Halafu uko Bingham unaenda kufanyaje? Nadhani watanzania tuna itaji msaada sana.Kwa akili zako zilivyo lazima uamini kuwa anaweza kuwapeleka wana kawe Birmingham, shida haipo kwa askofu shida ni kwa nyie akili zenu zinapokea kila kitu na kuamini ndiyo maaa CCM huwa ni rahisi sana kuwadangany watu wa sampuli yako
Ewa swali zuri sana, wanaenda kufanya nini labdaHalafu uko Bingham unaenda kufanyaje? Nadhani watanzania tuna itaji msaada sana.
Mkuu Askofu ni "Kalumanzira"?Askofu Gwajima sio mtu wa kawaida mtoa post kuwa makini shauri lako.
Hahahaha . Nimenukuu maneno ya kina lemutuz.Kwani nini kimebadilika sasa, hatuoni miradi ya barabara wala chochote.
Jamaa anachoongea na waumini wake anakijua mwenyewe.
Vipi kuhusu tundu lisu, lema na rwaitama?View attachment 2051012
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi
Hawako anga zangu, sisi tumemchagua Gwajima, anapiga domo tu!Vipi kuhusu tundu lisu, lema na rwaitama?
Hao hujawachoka?
Tunataka treni tu aliyoahidi kwa mdomo wake, wala hakulazimishwa kutoa ahadi.[emoji38] [emoji38] [emoji38] Wewe dogo utulie mwenzako yupo mbali sana, kushindana nae ni sawa sawa na kuchota maji ya bahari kwa kijiko kuyahamisha
nipeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nipeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
haya mmepewa lakini bado mnalalamika nyie watu bana, lipi jema kwenu
Laana ya kutafuna kondoo wake na kubunja ndoa ya Emmanuel Mbasha inamtafuna huyu changonoView attachment 2051012