Hilo ndilo linalotakiwa lifanyike kuepusha damu ya waTanzania wasiokuwa na hatia kupotea bure kwa sababu tu ya kumbakisha Samia madarakani.Kunakamsg kwambaaali kwamba embu nahawa wafanyiwe tuone!!
Habari ya yanayotokea nikwamba kutajatokea ugaidi mbaya wa kulipana visasi nahiyo itakuwa mbaya saana tuwe makini
Textbook based analysis.Ukweli wake hauko katika "factual completeness", bali uko katika emotional resonance na public sentiment—ambapo watu wengi tayari wanahisi taasisi za usalama zimekuwa passive au selective
Ila hawa wanaomezwa na chatu inatokea kuwa ni watoto wakorofi. Baba/mama kaamua acha chatu ashibe tu!Kama uongozi umewashinda sio vibaya kupisha wengine. Huwezi kuwa baba halafu ndani kuna chatu anameza watoto na wewe baba upo tu umetulia.
Nadhani anajua yoote hayo.ameamua kujitolea kuponya TaifaKesho Gwajiboy ataambiwa kanisa lake halina usajili
Na kiinua mgongo cha bunge watamnyima
She is in the thick of it on her own volition. There should be no excuses about that!Problem isthat she isn't the one to decide.
Watu wa mfumo na maccm yanataka ushindi kwa ghatama yoyote to keep their extravagant lifestyles going.
She is in a gigantic dilemma.
Sisi tumekubaliana tutabaikia maana hatutatekwa tena.Japo humo humo na kujipakulia minyama, asisahau aliahidi wananchi wa kawe atawapeleka mbele huko.....,
Hata kama ila ujumbe umefika kwa mapana na marefuIsijekuwa anatuchota dak za lala salama!
Ni kweli hana akili na ndiyo maana anatumia watu kumpa mawazo na njia za kuteka na kuua...dogo kwa kweli ana damu ya kigaidi kama wajomba zake.He hasn't such intelligence.
And he even follows those rules smartly 🤣He knows the game, knows the rules of the game
Hivi ni kweli anatumika kufanya hayo?Ni kweli hana akili na ndiyo maana anatumia watu kumpa mawazo na njia za kuteka na kuua...dogo kwa kweli ana damu ya kigaidi kama wajomba zake.
Spika angempiga pini. Maiki yake ingezimwa🤣Hizi hoja ingependeza Gwajima angeziongelea Bungeni ingekuwa vizuri sana
Ndiyo kwani anaona mama yake anaonewa wakati hajuwi alifanyalo. Yaani hataki watu wamseme mama yake hata kama hajuwi kazi.Hivi ni kweli anatumika kufanya hayo?
Aliwahi kusema kwamba hataki mama yake asemwe?Ndiyo kwani anaona mama yake anaonewa wakati hajuwi alifanyalo. Yaani hataki watu wamseme mama yake hata kama hajuwi kazi.
Vispika venyewe na vibunge vichawa mtupu ... hakuna bunge siku hiziHizi hoja ingependeza Gwajima angeziongelea Bungeni ingekuwa vizuri sana
Kwahyo kwa akili yako unaona ubunge ni kila kitu dhidi ya uhai wa watu?? Kwann usikae tu kimya kuficha upumbavu wako mkuu.Gwaji sahau ubunge