Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.

Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?

Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:

photo_2025-06-06_07-54-31.jpg

photo_2025-06-06_07-55-03.jpg

photo_2025-06-06_07-55-33.jpg

photo_2025-06-06_08-01-02.jpg
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.

Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?

Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:

Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒
 
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.

Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?

Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:

Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
 
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.

Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?

Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:

Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Mtatiro tangia akamatwe alipoachiwa akabadili kauli hadi leo tumsamehe hatujui alipitia magumu gani
 
Mzee hili neno unalipenda sana kwenye mabandiko yako, inaonekana unapenda sana viuno na viungo vyake naona, kwa mujibu wa methali isemayo kimtokacho mtu mara kwa mara ndio akili yake ilipo, sio mimi though 😛 😛
sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?

hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?🐒
 
Mtatiro tangia akamatwe alipoachiwa akabadili kauli hadi leo tumsamehe hatujui alipitia magumu gani
Mtatiro mwenyewe ni mhanga wa watekaji, alitekwa akafanyiwa kama aliyofanyiwa mwanaharakati Boniface huku wanamrekodi, akaambiwa achague moja aropoke wayamwage au atulie aende CCM akale mema ya nchi. Tena nakumbuka walikuwa naye kwa mwenzi mzima angekuwa mwanamke angetoka na mimba kabisa. Alichagua kuwa kimya na kwenda CCM akapewa UDC Tunduru.
 
sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?

hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?🐒
Mkuu Tlaatlaah suala la uzinzi usililete hapa kwani wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa, kuna wengine wenye degree zao nyingi tu wanachukua hadi wa$3nge.
Mada iliyo mbele yetu sio maadili ya ndoa.
Nikuulize wewe Tlaatlaah ,huyawahi kuchepuka? Kama hujawahi basi hongera.
Nusu ya watu wa Dar wangekua hawachepuki biashara ya dada utamu isingekua kwa kiwango cha sasa.
 
Mtatiro mwenyewe ni mhanga wa watekaji, alitekwa akafanyiwa kama aliyofanyiwa mwanaharakati Boniface huku wanamrekodi, akaambiwa achague moja aropoke wayamwage au atulie aende CCM akale mema ya nchi. Tena nakumbuka walikuwa naye kwa mwenzi mzima angekuwa mwanamke angetoka na mimba kabisa. Alichagua kuwa kimya na kwenda CCM akapewa UDC Tunduru.
Kwani Bonny kafanywaje? Sijapata hiyo clip.
 
Back
Top Bottom