Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Mtatiro toka amepata teuzi amekuwa kama zuwena..Mtatiro ajikalie kimya tu ,uwakili kautafuta miaka 9, leo anataka ashindane na kibatala mitandaoni
Mtatiro toka amepata teuzi amekuwa kama zuwena..Mtatiro ajikalie kimya tu ,uwakili kautafuta miaka 9, leo anataka ashindane na kibatala mitandaoni
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
Wewe una uharo kichwani kama mlivyo maccm wengiIla watanzania wengi mna mavi kichwani!!
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒
Hongera sana,wakala wa Mungu.ubarikiwe kwa uliyosema🙏🙏🙏gwajima, kalikawe na huyo wa kurasini si ndio wakali wa uzinifu katika ukristo gentleman?
huyo wa kurasini kaongeza na ulevi.
kiufupi ni wote hao ni mawakala wa shetani 🐒
Hongera sana wewe ni wakala wa Mungu na mbarikiwa kuliko watu wote.🙏🙏🙏gwajima, kalikawe na huyo wa kurasini si ndio wakali wa uzinifu katika ukristo gentleman?
huyo wa kurasini kaongeza na ulevi.
kiufupi ni wote hao ni mawakala wa shetani 🐒
Baraka na Neema za Mungu ndani yangu zinaniwezesha kueleza ukweli mtupu daima hususan kuhusu hao mawakala wa shetani katika ukristo 🐒Hongera sana wewe ni wakala wa Mungu na mbarikiwa kuliko watu wote.🙏🙏🙏
Vijana wa Mafwele walimlawiti huku wanamrekodi.Kwani Bonny kafanywaje? Sijapata hiyo clip.
Kwa bahati mbaya usemayo siyo kweli,ni Mungu pekee ajuaye ni nani wake na nani siye.Baraka na Neema za Mungu ndani yangu zinaniwezesha kueleza ukweli mtupu daima hususan kuhusu hao mawakala wa shetani katika ukristo 🐒
Fafanua tafadhali.Mamajusi kwaya 😂😂
Mamajusi walimwambia Yusuf kamfiche mtoto Msri 😁Fafanua tafadhali.
Mmh. Mtatiro mbona ni TISS kitambo, wanaweza tekana wenyewe?Mtatiro mwenyewe ni mhanga wa watekaji, alitekwa akafanyiwa kama aliyofanyiwa mwanaharakati Boniface huku wanamrekodi, akaambiwa achague moja aropoke wayamwage au atulie aende CCM akale mema ya nchi. Tena nakumbuka walikuwa naye kwa mwenzi mzima angekuwa mwanamke angetoka na mimba kabisa. Alichagua kuwa kimya na kwenda CCM akapewa UDC Tunduru.
Labda kama wali m recruit kipindi hicho walipokaa naye kwa mwezi mzima.Mmh. Mtatiro mbona ni TISS kitambo, wanaweza tekana wenyewe?
Mkuu huu mnyukanonupo kwenye page ipi nikashiriki kuwabagaza hao machawa wa MAMA?!Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
Watanzania tuko nyuma sanaa.Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.