Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒

Tumia limao au ndimu vitakusaidia. Ule vizuri , ufanye mazoezi kidogo usikose kwenda clinic. Gwajima atakuja anapenda watoto hawezi kukutelekeza. Huwa anasema yeye anazalisha. Aliyekutenda ni mmoja usiichukie dunia nzima...
 
sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?

hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?[emoji205]
Sasa kama hatafutwi, umejuaje kama kajificha?
 
Msando is a blithering idiot!

Anahoji kwamba kama Gwajima hajatenda kosa lolote, anawaogopa nini mapolisi?

Hawa CCM bongo zao ziko scrambled kama mayai!

Waliomteka Mdude walikuwa mapolisi.

Waliowateka Mwangi na Atuhaire ni polisi.

Nani mwenye akili timamu Tanzania atajipeleka kwao hao wahuni kizembe zembe namna hiyo?

CCM imejaa wapumbavu na polisi kumejaa majuha.

You can’t reason with either one of them.

Eff you Albert Msando.

Msalimie na Gigi Money huko uliko 🤣
 
tuanzie kwenye uzinzi wake na kuwaambukiza ukimwi waamini wake kwa makusudi gentleman,

huko kwenye drama hakuna haja kubababika nako sana 🐒
Sasa hizo unazotoa wewe ndio drama zenyewe. Amekuambukiza ukimwi? Kukemea utekaji ni kupotosha?
 
Sasa hizo unazotoa wewe ndio drama zenyewe. Amekuambukiza ukimwi? Kukemea utekaji ni kupotosha?
uzinzi wake umewaachia waamini wake ukimwi. Inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
 
uzinzi wake umewaachia waamini wake ukimwi. Inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
Wewe amekuambukiza ndio maana ukasema hivyo. Hakuna muumini wake aliyesema hayo isipokuwa wewe. Hongera kwa kutoa kizibo kikaingizwa ukimwi ni Gwajima
 
Wewe amekuambukiza ndio maana ukasema hivyo. Hakuna muumini wake aliyesema hayo isipokuwa wewe. Hongera kwa kutoa kizibo kikaingizwa ukimwi ni Gwajima
ni vigumu mtu makini kama mimi kuongozwa na askofu mzinifu ambae pia ni mjumbe na wakala wa shetani ambae anasambaza ukimwi kwa wafuasi wake 🐒
 
ni vigumu mtu makini kama mimi kuongozwa na askofu mzinifu ambae pia ni mjumbe na wakala wa shetani ambae anasambaza ukimwi kwa wafuasi wake 🐒
Hongera kwa kukuambukiza ukimwi.
 
Gwajima ni mshitakiwa katika kesi yoyote?

Kama ni mshitakiwa, kesi gani?

Kama si mshitakiwa hawajibiki kujitokeza.
 
Gwajima ni mshitakiwa katika kesi yoyote?

Kama ni mshitakiwa, kesi gani?

Kama si mshitakiwa hawajibiki kujitokeza.
Ndo ushangae wanatupa mashaka ajitokeze kufanya nini mtu umefuta kanisa lake yuko kwenye maombi
 
Makaburi ya msando yanakuja sasa hivi
IMG_1520.jpeg
 
Back
Top Bottom