Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?

hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?🐒
Wewe unafanana na yule kiwete aliyenyanyua msaafu juu akiapa mke wangu akipata mimba, nitasimama na kutembea kwa shangwe.

Akaendelea kusema "Mimi nitamlinda kwa wivu mkubwa mno, kwa maana nitakuwa baba wa mtoto"

Kilichotokea and the rest of story inakuwa kama ulichoandika.

Kwamba wewe siyo mzinifu kabisa au kwa sababu haurekodiwi?.
 
Huo uzinzi alifanya na mama yako au baba yako?
 
Uchambuzi huru:-

Baada ya Gwajima kuchokoza kama alivyotumwa,tagert alijitokeza na kuonyesha kwamba "chama" ndio slogan yake kuu dhidi ya madai ya Gwajima!!

Kwahiyo baada ya kazi Kwa usalama ilibidi ajifiche!

Atarudi baada ya target kushughulikiwa ndio atashika maiki Tena kanisani!!

Nawaza na kuwazua!!
 
Wewe unafanana na yule kiwete aliyenyanyua msaafu juu akiapa mke wangu akipata mimba, nitasimama na kutembea kwa shangwe.

Akaendelea kusema "Mimi nitamlinda kwa wivu mkubwa mno, kwa maana nitakuwa baba wa mtoto"

Kilichotokea and the rest of story inakuwa kama ulichoandika.

Kwamba wewe siyo mzinifu kabisa au kwa sababu haurekodiwi?.
ila video ya ngono ya askofu ilienda viral sana gentleman, inasemekana ukimwi ulisambazwa sana kwa waamini na huyo fuska 🐒
 
Kibatala anaandika Kizungu wakati kukiongea hawezi mpumbavu mmoja
 
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.

Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?

Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:

Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Huyo gwajima na wakili wake wote wazee wa kiki pipa na mfuniko
 
relax basi wakala wa shetani 🐒
Wakala wa shetani ni yule anayesisimka binadamu wengine wakitekwa, kuuawa au kulawitiwa kwa kuwa tu hakubaliani nao mawazo.

Shetani siyo "lijitu" bali ni roho na inatambuliwa Kwa matendo ya binadamu mwenye roho ya kishetani. Ukiona mtu akiuawa wewe unaona sawa tu, juwa wewe una roho ya kishetani.
 
Huyu anatuniwagwa na wazungu so huku tz hakuna mtu atakayemuweza maana ni analist za kila tukio la mtu la muhimu so watu humuogopaga sana Magufuli alimpa ubunge ili kiishee wakae kwa kutulia bado hajaanza kusema
 
Back
Top Bottom