Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Wakala wa shetani ni yule anayesisimka binadamu wengine wakitekwa, kuuawa au kulawitiwa kwa kuwa tu hakubaliani nao mawazo.

Shetani siyo "lijitu" bali ni roho na inatambuliwa Kwa matendo ya binadamu mwenye roho ya kishetani. Ukiona mtu akiuawa wewe unaona sawa tu, juwa wewe una roho ya kishetani.
kumtetea mzinifu kwa drama na upotoshaji ni sawa na kuabudu sanamu na ushirikina.
Na hilo ni jukumu la mawakala wa shetani 🐒
 
sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?

hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?🐒
Nina mashaka wewe Alikunyandua kabisa!!
 
Mtatiro tangia akamatwe alipoachiwa akabadili kauli hadi leo tumsamehe hatujui alipitia magumu gani
Mtatiro atakuwa alifanyiwa kama mwanaharakati wa Kenya Bwana Mwangi.......kupakwa mafuta laini na kuingiziwa vitu vyenye ncha butu na kuambiwa sema, " ASANTE MAMA SAMIA SULUHU"...... 🙄
 
Kuna uwezekano mkubwa wewe alishakutoa marinda kabisa!!
mzinifu kawaMbukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi kabisa huku ninyi mawakala wake mkifurahia mauaji hayo ya kishetani,🐒
 
relax ndugu mropokaji wakala wa shetani mzinifu gwajima 🐒
Pambaf mkubwa....wakti mnamteua Gwajima agombee Ubunge jimbo la Kawe na kuiba kura kwa niaba yake ili ashinde mlikuwa hamjui ni Wakala wa shetani mzinifu....???
 
Pambaf mkubwa....wakti mnamteua Gwajima agombee Ubunge jimbo la Kawe na kuiba kura kwa niaba yake ili ashinde mlikuwa hamjui ni Wakala wa shetani mzinifu....???
punguza mihemko wakala wa shetani mzinifu gwajiboy 🐒
 
mzinifu kawaMbukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi kabisa huku ninyi mawakala wake mkifurahia mauaji hayo ya kishetani,🐒
Mkuu sema kweli tu au alikudinya hakukulipa?? Maana naona umemng’ang’ania sana utafikiri yeye ndiye wa kwanza kufanya hivyo!!
 
Hivi kwa nini Kila anayeipinga CCM husemwa kuwa huwa anatumiwa na wazungu? Hivi hakuna watu wanaotumiwa na waarabu ili waipinge CCM?
Kama ni kweli sasa sisi tuseme nini tundu lissu ameficha hadi kaonekana haya huyu gwaji boy vile vile unajua gwaji yupo kama afisa mpelelezi hawamuwezi
 
Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
Here is an important pointer that people should start paying attention to.

Hello Tanzania: Kutana na Jeshi la Mama Samia Suluhu Hassan. Jeshi lililo andaliwa tayari kumweka tena madarakani Oktoba.

Bila shaka hili jeshi litakuwa chini ya uongozi wa ACP Awadh.

WaTanzania ni lazima waanze kuliwekea umakini upasao jeshi hili maalum.

Hii ndiyo njia pekee iliyo baki kwa Samia kubaki madarakani.
 
Idd Amin Mama typing Idd Amin Dada(RIP).
Kiimani wanasema Watu wanakufa lakini roho hazifi. Roho ya Nduli Idd Amin dada(rip) imemvaa mama kwa 100%+++!!
 
mzinifu kawaMbukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi kabisa huku ninyi mawakala wake mkifurahia mauaji hayo ya kishetani,🐒
Basi na Wabunge woote kule Bungeni Gwajiboy atakuwa amewa ambukiza UKIMWI......Simple!
 
Back
Top Bottom