Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Gentleman,
huyo muungwana alizini na kumuambukiza ukimwi muumini wake kwa makusudi huku akiwa ana jirikodi kabisa video ya ngono dah 🐒
Mkuu ulikuwepo wakivuana nguo, hadi ukaona virusi vinahamia kwa mwenzio. Ndugu yangu jibu hoja ya Askofu Gwajima!

Acha kujishusha kiasi hiki, maana hiki ni kiwango cha chini yani chini kuliko hata kiwango cha chawa!
 
Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.

1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.

2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?

3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?

4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.

5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?

6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?

7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?

8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.

9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.

10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
 
Ukijipendekeza unaweza kujiona unaakili kumbe mjinga tu. Mkuu wa wilaya mambo ya polisi yanamuhusu nini au anahusikaje nayo?

Mamlaka zilizofungia kanisa zilimpa taarifa hiyo Gwajima? Walimwambia sababu za kumfuangia kanisa?

Huyu Mkuu wa wilaya anatekelezaje amri za mamlaka zilizomfungia Gwajima kanisa, ni sehemu ya majukumu ya mkuu wa wilaya?

Gwajima hakupata taarifa za kufungiwa kanisa, na wao wanasema walipompelekea barua hakuwepo kanisani?

Gwajima haishi kanisani, ana makazi yake kwanini wito upelekwe kanisani na siyo Nyumbani kwake?

Na kama walitaka kumpelekea ofisini kwake kwa maana ya kanisani, walipaswa waipeleke mida ya kazi ya serikali siyo saa 11 jioni.

Barua ya wito siyo barua ya kukamata, wao walizingira kanisa kwa lengo la kumkamata, kwanini akamatwe ikiwa hajakaidi wito wa kuitwa huko walikokuwa wakimuita?

Mkuu wa wilaya ana husikaje na kutekeleza amri za Polisi?
 
Us
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.

Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?

Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:

Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Uskute na gwajima washamteka
 
Wasubiriane Mahakamani, Haraka ya nini?

Wakili wake kasema kama wanamuhitaji wapitie kwake!
 
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒
CCM isikufanye utukane Gwajima eti mzinifu. Kwamba huko CCM mko wasafi hakuna mzinifu? Mbona kila siku unaleta nyuzi za CCM hujataja hata mmoja mzinifu?
Kuwa na busara wakati mwingine.
 
Kama mnatarajia hao viongozi wetu wawili wanaweza kuwa neutral hata kwa sentensi moja kujibu hoja za gwajboy basi mtasubili sana, hakuna mwenye ubavu huo, lazima waegemee upande mmoja for their security
 
Huyo mlopokaji tu

Ova
 
sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?

hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?🐒
ati "Tz utajificha wapi usionekane..."! Mbn "wasiojulikana", wanaotenda hayo mautekaji, maupotezaji, mauaji na maumwagaji damu mmeshindwa kueluzea walipo! Na kw nn kumtafta litumike jeshi kuzngra kanisa badla ya kumwita kituoni kama ni mhalifu! ...nk
 
unafunga kanisa na matawi yake 2000 kwa sababu mtu kakemea utekaji na uuaji. basi tuseme alikosea,

je, unaweza kung'oa meno yoote mdomoni kwa sababu moja tu ndio linauma? haki ya meno mengine yasiyouma ipo wapi?

unaweza kufunga msikiti na matawi yake yote kwa sababu shehe mkuu kafanya kosa? wale waumini ambao hata hawakusema kitu haki yao ya kuabudu unaiweka wapi?

unaweza kuadhibu mtu asiye na kosa kwa sababu kiongozi wake kakosea? umegombana na baba wa familia halafu unaanza kupiga watoto wake pamoja naye hao wamekosa nini?

kama gwajima kakosea shughulikeni nae ila kuzuia na makanisa/waumini vituo 2000 wasiabudu kwenye majengo waliyojijengea wala serikali haikutia mkono pale ni kunyima watu haki ya kuabudu na ni dhambi.
 
Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.

1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.

2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?

3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?

4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.

5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?

6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?

7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?

8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.

9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.

10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
Hili jambo liko wazi sana.
Kilichofanyika kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima ni CHUKI DHIDI YA UKRISTO. Kwamba Rais aliyeko Madarakani ni MUISLAMU kwa hiyo ametumia kigezo cha Gwajima kukosia Serikali yake kupambana na Maelfu ya Wakristo.

Sidhani kama ingelikuwa ni sahihi kuwa Sheikh wa Msikiti mmoja hapo Dar ameikosoa Serikali basi misikiti 2000 ya Kiislamu ifungwe!!

Lakini pia tusisahau kilichotokea kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wakatoliki (TEC) Padre Kitima kushambuliwa na Wasiojulika nusra ya kuondoa uhai wake. Ni mwendelezo uleule.

Dini ya Kiislamu imejengwa kwenye imani na misingi ya Chuki, Visasi na JIHAD!! Inasikitisha😳
 
shehe ponda na kundecha wamekuwa mwiba kwa serikali tena wakituhumiwa kwa ugaidi na vikundi vya kigaidi adi leo kuna wafuasi wao wapo gerezani, yote hayo yanafanywa misikitini ila hakuna msikiti hata mmoja uliwahi kufungwa au waislam wakazuiwa kuabudu. sasa wafuasi wa ufufuo na uzima kesho jumapili wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kuabudu kwa sababu ya kosa la gwajima (kama kweli ni kosa though naamini hajakosea), ukiumwa jino moja mdomoni unang'oa meno yote mdomo mzima? kwa nini tusiamini ni shambulio dhidi ya ukristo? ile chuki dhidi ya ukristo ndio imejitokeza ndio maana anaamini dhahebu la gwajima ni la shetani, rais wa nchi anatukana dhehebu la imani tofauti naye kuwa ni la kishetani, waumin maelfu makanisa zaidi ya 2000 ambao wanamwabudu Mungu, samia kasema kanisa lao ni la kishetani, na bahati mbaya ameongelea hilo kwenye dhehebu la lutheran mbele yamalasusa ambaye hawezi kucomment chochote. Mungu iponye Tanzania.
 
ati "Tz utajificha wapi usionekane..."! Mbn "wasiojulikana", wanaotenda hayo mautekaji, maupotezaji, mauaji na maumwagaji damu mmeshindwa kueluzea walipo! Na kw nn kumtafta litumike jeshi kuzngra kanisa badla ya kumwita kituoni kama ni mhalifu! ...nk
hizo drama za kizushi hakuna wa kubabaika nazo gentleman 🐒
 
CCM isikufanye utukane Gwajima eti mzinifu. Kwamba huko CCM mko wasafi hakuna mzinifu? Mbona kila siku unaleta nyuzi za CCM hujataja hata mmoja mzinifu?
Kuwa na busara wakati mwingine.
inaonekana wewe ni miongoni mwa mawakili wa shetani mzinifu wazembe sana. Kiongozi wako anafanya uzinzi na kujirikodi video kabisa akimusmbikiza muumini wake ukimwi kwa ngono zembe halafu unakuja hapa kushupaza shingo?

kweli shetani ni muongo dah 🐒
 
una kavideo kake hapo kangono kama ya huyo askofu muambukiza ukimwi kwa waamini wake gentleman?🐒
Hata msando mbn yy kawachapa sana 😄
Kawachezesha sana mic mabint za watu sema simlaumu ni tamaa zao

Ova
 
Back
Top Bottom