Hivi umeshindwa hata kupitia bible kabla ya kuinukuu? Ni wapi mamajusi walisema na Yusuf kwenye bible, kwa msaada soma Matayo 2:13-15Mamajusi walimwambia Yusuf kamfiche mtoto Msri 😁
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒
Huenda hukumuelewa DC gentleman 🐒Kwani hujaona huyo chawa Msando anamuulizia kama nani?
Kalamaganda alipokua anashika chaki alikua jembe na nusu.Huyu Mtatiro enzi tupo chuo pendwa na yeye ni Rais wetu, alikuwa na akili za kuhoji, sijui zimeenda wapi?
Kweli hakuna mkate mgumu, mbele ya chai. 😁
kwahiyo unataka akunyandue na wewe?sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?
hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?🐒
Nguvu ya mamajusi ndio ile ile ya malaika 😂😂😂Hivi umeshindwa hata kupitia bible kabla ya kuinukuu? Ni wapi mamajusi walisema na Yusuf kwenye bible, kwa msaada soma Matayo 2:13-15
Mkuu kwani Askofu Gwajima kapita na mkeo au huwa una mshikia mguu ya hao wanawake wakati anazini nao kiasi cha kumpakazia hapa namna hii!sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?
hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?🐒
Gentleman,Mkuu kwani Askofu Gwajima kapita na mkeo au huwa una mshikia mguu ya hao wanawake wakati anazini nao kiasi cha kumpakazia hapa namna hii!
hakuna haja ya kuropoka kwa mihemko pale ukweli unapoelezwa na kusisitizwa 🐒kwahiyo unataka akunyandue na wewe?
Kitu pekee anachoweza ulizia Msando ni Gigi Money yuko wapi akashike papuchi. Stupid.Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
Lubricant in the anus lazima ilitumikaMtatiro tangia akamatwe alipoachiwa akabadili kauli hadi leo tumsamehe hatujui alipitia magumu gani
ccm na machawa ndo wana mtafuta... bi chura kila akifungua domo anamtaja Gwajiboy. Nadhani hata akifumba macho anamuona akitema cheche za ufufuo na uzima!kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒
Tutajie alipopotosha.kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒
Halafu leo nimefunga. Mh Mtatiro katupigisha sana mabomu alivyokua cuf tukimpigania awe mbunge. Ndio maana mimi nimejikita ktk kujipendekeza kwa muumba wangu na sio kwa binaadam mwenzanguMtatiro ajikalie kimya tu ,uwakili kautafuta miaka 9, leo anataka ashindane na kibatala mitandaoni
Hivi mamako alipona kweli kupitiwa na kisuuzio cha Bishop? Maana alikuwa hakosekani kwenye ibada!kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?🐒
hakuna haja ya kua na mihemko na uropokaji gentleman,Hivi mamako alipona kweli kupitiwa na kisuuzio cha Bishop? Maana alikuwa hakosekani kwenye ibada!
tuanzie kwenye uzinzi wake na kuwaambukiza ukimwi waamini wake kwa makusudi gentleman,Tutajie alipopotosha.
Kwahiyo kukemea utekaji na mifano aliyotoa nikupotosha? Kuna siku yatakukuta kwa njia yoyote.
mzinifu wa kuambukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi atamfufua nani gentleman 🐒ccm na machawa ndo wana mtafuta... bi chura kila akifungua domo anamtaja Gwajiboy. Nadhani hata akifumba macho anamuona akitema cheche za ufufuo na uzima!