Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

haya enjoy the videos na upate experience nzuri sana ya kunyandua ya mzinifu mwenye mkono wa baunsa gentleman šŸ’
Usinichagulie ya x ya kuangalia. Mkono wa baunsa hamna kitu pale, hii ya msando na ile pichi ndio habari kamili na hajawahi kukanusa. Siwezi kuangalia x ya mtu aliyekana kuhusika
 
FB_IMG_1749139137988.jpg
 
Wasomi hao tunawaita kibongobongo.
Aisee kumbe ni watupu hasa kichwani.
Mawakili wa digital hawa, wale mawakili vichwa zamani wametulia tu.
 
hakuna haja ya kua na mihemko na uropokaji gentleman,
Askofu mzinifu kuwaambukiza ukimwi waamini wake kwa makusudi, inasikitisha sana aise šŸ’
Hilo nalifahamu vizuri sana kwa kuwa na mamako ana kaswende sugu aliyopata kwa Bishop!
 
toka gwajima limevamiwa kanisa lake sijawahi kusikia sauti yake. na video nyingi zinazo trend mtandaoni ni zile za zamani, na hii sio kawaida gwajima ni muongeaji sana.
na hichi kimya sio bure
 
Yuko anaendelea na maombi,

Watekaji walipigwa upofu, akapita katikati yao wasimwone !
 
Tanzania
Yupo Anachapa Kazi Unataka Kumuona Magomeni
 
toka gwajima limevamiwa kanisa lake sijawahi kusikia sauti yake. na video nyingi zinazo trend mtandaoni ni zile za zamani, na hii sio kawaida gwajima ni muongeaji sana.
na hichi kimya sio bure
Hv uguse ndevu za amiri jeshi mkuu unategemea nini. Ingekuwa Rwanda angeshazikwa
 
Back
Top Bottom