Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Video ya Msando akichezea chupi ya Nandy bado tunayo na ya mkono wa baunsa tunayo.

Kazi kwako sasa
haya enjoy the videos na upate experience nzuri sana ya kunyandua ya mzinifu mwenye mkono wa baunsa gentleman 🐒
 
inaonekana wewe ni miongoni mwa mawakili wa shetani mzinifu wazembe sana. Kiongozi wako anafanya uzinzi na kujirikodi video kabisa akimusmbikiza muumini wake ukimwi kwa ngono zembe halafu unakuja hapa kushupaza shingo?

kweli shetani ni muongo dah 🐒
Kwani msando na giggy walikuwa wanafanya nini 😄

Ova
 
Hata msando mbn yy kawachapa sana 😄
Kawachezesha sana mic mabint za watu sema simlaumu ni tamaa zao

Ova
hizo ni drama tu gentleman,
mziki wa mjumbe wa shetani mwenye mkono wa baunsa ndio kila kitu gentleman 🐒
 
Hayo ma kina msando na mtatiro yanabwabwaja sababu wapo ndani ya mfumo
 
huwezi lions,ni aibu kubwasana kwa mtatiro kubishana na kibatala
Kwani Kibatala yeye ni nani? Ebu acheni arrogance zisizo na maana na ili limekua likitusumbua sana CHADEMA sipendi utamaduni huu
 
Anaogopa wasiojulikana ambao hawatakiwi wajulikane, (anaogopa kutekwa)

Swali je kanisani kwake alitoweka?
 
msando ni yule wa udenda kumtoka kisa gigy?......alipoona mambo ambayo nafsi yake ilishindwa kuhimili?
kama ni yule apate kwanza uzoefu na purukushani za mjini kufuta u primitive wake halafu akimature,,,afikiriwe kufikiriwa.
 
Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
Malizia nanjeshi la uwokovu
 
We ni mmoja wa washenx mnaoteka,kuua na kupoteza watu...God is watching u from a distance. Your D day is coming...Pambaf zako.
huna haja ya mihemko wala makasiriko gentleman kwenye vitu useless na completely nonsense 🐒
 
huna haja ya mihemko wala makasiriko gentleman kwenye vitu useless na completely nonsense 🐒
Unajua maana ya neno "gentleman" au unaropokwa tu?
Kwako watu kutekwa, kupotezwa na kuuawa ati ni vitu useless na completely nonsense...!!
You must be crazy!
 
Kwani Kibatala yeye ni nani? Ebu acheni arrogance zisizo na maana na ili limekua likitusumbua sana CHADEMA sipendi utamaduni huu
Kibatala ni Wakili msomi anaye jitambua na kusimamia Katiba na Sheria na misingi ya Haki za Bin-adamu wote.
 
Unajua maana ya neno "gentleman" au unaropokwa tu?
Kwako watu kutekwa, kupotezwa na kuuawa ati ni vitu useless na completely nonsense...!!
You must be crazy!
relax gentleman,
na huna haja kua na hizo drama za ubabaishaji za watafuta kiki na public sympathy.
hakuna kitu kama hicho nchini 🐒
 
relax gentleman,
na huna haja kua na hizo drama za ubabaishaji za watafuta kiki na public sympathy.
hakuna kitu kama hicho nchini 🐒
It's because you're living in thy own world in Tanzania as CCM henchmen. But if you're truly living in Tanzania you can't deny the naked truth currently prevailing in Tanzania.
Only fools can deny this!!
 
Back
Top Bottom