Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?πWakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
Wanawashwa washwa! Anawahusu nini?Anamtafuta ye ni nani wake?
Si kishasema swala la utekaji msando aanzie hapo kutoa ufafanuzi kama ana ufafanuzi wowote.
Mtatiro tangia akamatwe alipoachiwa akabadili kauli hadi leo tumsamehe hatujui alipitia magumu ganiWakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?π
sio napenda,Mzee hili neno unalipenda sana kwenye mabandiko yako, inaonekana unapenda sana viuno na viungo vyake naona, kwa mujibu wa methali isemayo kimtokacho mtu mara kwa mara ndio akili yake ilipo, sio mimi though π π
Mtatiro mwenyewe ni mhanga wa watekaji, alitekwa akafanyiwa kama aliyofanyiwa mwanaharakati Boniface huku wanamrekodi, akaambiwa achague moja aropoke wayamwage au atulie aende CCM akale mema ya nchi. Tena nakumbuka walikuwa naye kwa mwenzi mzima angekuwa mwanamke angetoka na mimba kabisa. Alichagua kuwa kimya na kwenda CCM akapewa UDC Tunduru.Mtatiro tangia akamatwe alipoachiwa akabadili kauli hadi leo tumsamehe hatujui alipitia magumu gani
Kila bishop kwako ni mzinifu? Seems wewe kazi yako ni kupaka bishops mavi. Natamani kujua wewe ni dini ganikwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?π
Mkuu Tlaatlaah suala la uzinzi usililete hapa kwani wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa, kuna wengine wenye degree zao nyingi tu wanachukua hadi wa$3nge.sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?
hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?π
gwajima, kalikawe na huyo wa kurasini si ndio wakali wa uzinifu katika ukristo gentleman?Kila bishop kwako ni mzinifu? Seems wewe kazi yako ni kupaka bishops mavi. Natamani kujua wewe ni dini gani
Kwani Bonny kafanywaje? Sijapata hiyo clip.Mtatiro mwenyewe ni mhanga wa watekaji, alitekwa akafanyiwa kama aliyofanyiwa mwanaharakati Boniface huku wanamrekodi, akaambiwa achague moja aropoke wayamwage au atulie aende CCM akale mema ya nchi. Tena nakumbuka walikuwa naye kwa mwenzi mzima angekuwa mwanamke angetoka na mimba kabisa. Alichagua kuwa kimya na kwenda CCM akapewa UDC Tunduru.
Ila watanzania wengi mna mavi kichwani!!Mtatiro ajikalie kimya tu ,uwakili kautafuta miaka 9, leo anataka ashindane na kibatala mitandaoni