Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

Joined
Jun 17, 2020
Posts
75
Reaction score
268
Habari wakuu!

Jana Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama tawala na ametoa sababu nyingi tu kwa nn yy ni Askofu na anataka kuingia kwenye siasa! Mm kama mtumishi wa Mungu pia na mchambuzi wa Biblia natoa sababu kwa nini askofu gwajima hatakiwa kuwa kwenye siasa.

1: Neno asikofu kibiblia ndo Kazi njema kuliko kazi nyingine zote, kuwa Askofu maanake ww unaongoza makanisa mengine, na umeitwa na Mungu kwa ajili ya Kazi hiyo, maana nyingine unamwakilisha Mungu hapa duniani, na unalipwa na Mungu.

2: Askofu Gwajima ni kiongozi wa kiroho anayeongoza watu wote wa vyama tofauti sasa anapoingia kwenye siasa ataweza kkuwa na ujasiri wa kukemea mabaya yatakayofanywa na chama chake?? Lakini pia Kanisani kwake ataweza kuhubiri bila kuwa na itikadi ya chama?

3: Kazi kubwa ya Askofu Gwajima ni kuwaleta watu kwa Yesu, he! Hiyo Kazi kaimaliza??? ( Rejea kwenye Biblia mavuno ni mengi watenda Kazi ni wachache) bado maasi yanaongezeka duniani huu ndo muda ambao angeutumia kuihubiri injili kwa kila kijiji na kabila watu waache dhambi, hii Kazi hajaimaliza bado anaenda kwenye majukumu mengine ya kaisaria.

4: Mifano aliyoitoa yote haina mashiko ukilinganisha na wito wake, kwanza lwakatare bila shaka alikuwa ni mbunge wa vyiti maalum maanake wa kuteuliwa, na madhara yake tuliyaona hana rekodi ya kuhubiri injili mikoani tofauti na Kanisani kwake!, lakini mchungaji Msigwa au mtikila baada ya kuingia tu kwenye siasa wote tunajua lina baki jina tu uchungaji lakini ule wito kamili unaondoka!

6: Huwezi kuwatumikia mabwana wawili ni lazima umchukie mmoja na umpende mmoja.

7: Kugombea ubunge na ww ukiwa mtumishi wa Mungu sio dhambi lakini madhara yake ni makubwa kwenye ulimwengu wa roho.

8: Kama ni swala la kumsaidia Rais hata hapo alipo uwezo huo anao sana sio mpaka uwe mbunge!

9: Kuwa mbunge ni kujiongezea majukumu ambayo sio ya lazima kwako ili hali kondoo bado wanahitaji malisho yako.

10: Gwajima alianza vizr ila kwenye siasa ungewaachia wenyewe ww uwe mshauri tu:

Note: Nia ya mwili ni mauti lakini nia ya Rohoni ni uzima wa milele, Mungu anaangalia mwisho mwema wala sio mwanzo, gwajima ww huwezi kutolea mfano wa papa wa Italia! Huko ni kuwafurahisha wanadamu ili hali ukweli unaujua tofauti ya makanisa ya kidini na makanisa ya kiroho! Labda kama unataka kuwa mwanadini sawa!

Ili kuelewa jambo hili unashauriwa kusoma mada hii
=> Uchaguzi 2020 - Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe
 
Kila mtu ana haki ya kugombania uongozi, lakini dah ndugu mgombea ukiingia ktk site hizi za utamu unakuta PILAU lake alilo lipika yeye na kondoo wake.

Ndio kila mtu ana haki ya kuwa kiongozi ila maadili nayo lazima ya zingatiwe.
 
Mimi naona sawa tu, ngoja akaanze kuwahubiria huko huko ndani pengine haki itaanza kuonekana!

Maana sheria nyingi wanazotunga hazioneshi haki, nadhani ndio mana askofu kaamua kuingia huko huko jikoni
 
Huyu aliyelaumu Ulaya kwa kupokea wakimbizi wa kiislam, sijui huko Jimboni akishinda atahubiri hayo hayo au vipi. Maana bado sijamuelewa, kwani ni lazima tuwe makini na watu kama hawa.

Na kwa sababu anatoka kule karibu na Mkulu, basi atapitishwa tu na chama ili agombee kwa tiketi ya Lumumba.

Wananchi kuweni makini na huyu Jambazi, atatugawa kwa misingi ya kidini.
 
Kuna wakati mwenyewe alikiri kwamba cheo chake ni kikibwa sana, nafikiri amekengeuka na hasa baadae ya kufanikisha mpango wa Mh Lowasa naye akaona aingie mwenyewe
 
Huyu aliyelaumu Ulaya kwa kupokea wakimbizi wa kiislam, sijui huko Jimboni akishinda atahubiri hayo hayo au vipi. Maana bado sijamuelewa, kwani ni lazima tuwe makini na watu kama hawa.

Na kwa sababu anatoka kule karibu na Mkulu, basi atapitishwa tu na chama ili agombee kwa tiketi ya Lumumba.

Wananchi kuweni makini na huyu Jambazi, atatugawa kwa misingi ya kidini.
Watanzania tunapenda sana kushabikia vitu vya kijinga usishangae akishinda kwa kura nyingi, Tanzania mtu akiwa maarufu Facebook anaona hata Ubunge atapata
 
Gwaji Boy si askofu ni porn star and business man, mchumia tumbo kupitia Faith Business!!Anaujua uislam ni dini ya kweli na ni hatari kwa ustawi wa ukristo sababu kila aya ya Al Furqan ina logic na sasa anapambana na uislam ndani na nje ya nchi , Gwaji boy ni fundi wa mauno na ngono na wake za waumini wake tu hafai kuwa kiongozi wa siasa!ni mbaguzi wa kidini hivyo hana sifa ya kuwa kiongozi wa umma, ni mtu muongo na tapeli!! ni mvunjaji ndoa za watu huyu hafai kwenye siasa!!

Kaona mbupu zote sasa zimevutwa anatafuta pa kutokea! kama hustler wengine nampongeza kutangaza nia ila hafai ubunge sababu ni mdini wa kujitangaza mwenyewe kuchukia waislam, na wazungu wanatekeleza ushauri wake kwao wazungu wanaanzisha vita Arabuni na kugoma kupokea wakimbizi!!!

mimi kama kijani makini namshangaa sana kwanini Porn Star Gwaji boy hakugombea ubunge miaka ya nyuma ila alipoingia tu Magu, covid19 na vita ya Madawa ya Makonda mpunga sasa umekata karukia Siasa !! shame on him!!

Gwaji boy hana aibu na mauno yote yale akienda bungeni atadeal na viti maalum wote awamalize na kuekti nao porn zingine tutaziona nazo pia! nilikagua ile clip mara kumi nikajihakikishia ni Gwajima yeye mwenyewe , ile video ni halisi sio fake!!bichwa lake la kijijini lile unaediti vipi? niliangalia uwiano wa kichwa miguu tumbo na mokono, vyote vilikuwa sawa kisha nikaangalia rangi ya mwili ya viungo vyote ilikuwa sawa pia nikahakikisha ni yeye tena niyeye ndie anaonekana akijirekodi si mwanamke wa watu!!

Sisiem tusifuge uchafu kama huu na kuupeleka bungeni!! kijani tuwaheshimu wapiga kura wetu si kuwapelekea bungeni uchafu kama Gwajima tuangalie watangaza nia walio wasafi , wazalendo na makini tu!
 
Gwajima ni mfanyabiashara kama walivyo wafanyabiashara wengine hivyo anayohaki Kugombea Ubunge.
 
Mgombea anakataliwa katika box la kura, iwe chamani au jimboni. Mengine ni chuki binafsi na kujilisha upepo.
 
Back
Top Bottom