Kwani Gwajima ana maadili?Hao Watumishi ndio wanatakiwa Kwa sababu Taifa litakuwa na maadili
Kwani Gwajima ana maadili?Hao Watumishi ndio wanatakiwa Kwa sababu Taifa litakuwa na maadili
WanaKawe msifanye kosa hilo! Kamwe!!!!Sisi wakaazi wa Kawe, hatuko tayari kuongozwa na mcheza filamu za ngono, muuza madawa, mtu anayemiliki silaha haramu, mtu tapeli anayibia waumini kwa madai kwamba ana uwezo wa kufufua ndugu zao waliokufa