Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

Mgombea anakataliwa katika box la kura, iwe chamani au jimboni. Mengine ni chuki binafsi na kujilisha upepo.
Mgombea kama Porn Star Gwaji boy huanza kukataliwa mtaani tu huko kwenye sanduku la maoni na kura huwa ni kuhitimisha na kupigilia msumari wa mwisho!!
 
Kwa mujibu wa 1 Timotheo 3 mstari 1 - 10 Gwajima hana sifa ya kuwa askofu!
 
Hakuna sababu nyingine ya kumfanya agombee ubunge bali ni pesa na uheshimiwa.
 
Huyu Gwajima hivi bado ana waumini??
 
Huko Kawe chungeni wake zenu, bazazi mtafuna kondoo wake na wake za watu anabisha hodi huko.
 
Wengi sanaaaa,
tena waumini wake wa kike wameongezeka mara 12 baada ya kuwaonesha umahiri wake wa kuwakatikia huduma za kiroho na kimwili chumbani.
Sijui matapeli kama hawa huwa wanawakamata na nini watu! Inasikitisha
 
Kwanza atusibitishie kuwa kweli ile video imeeditiwa alafu ndio tumpe ridhaa ya kwenda Bungeni.
 
Ya mama Lwakatare na Gwajima ni sawa. Watu wawe waangalifu.
 
kwa nini waislamu hawaendi nchi za kiarabu zilizo shwari kuomba ukimbizi ila kila siku Ulaya tu...wazungu wamegundua njama zenu ..mnazaana kama sungura Ulaya ili iweje...
 
mfanyabiashara anabadili aina ya biashara sio mbaya
 
Tangu lini gwaji alishawahi kuwa askofu?
 
Tatizo bunge letu lina majembe membe sasa tunapeleka machete masululu mundu mapanga ba majaba na tupa na mifuniko.
Mpaka kieleweke
 
 

Angalizo na ushauri wako una mantiki. Nami nakuunga mkono 100%...

Labda niseme kidogo, kwamba;

Askofu Gwajima ni miongoni mwa watumishi wa Mungu wanaoni - inspire sana katika maisha yangu ya kiroho. Niseme wazi kuwa Mungu anamtumia sana kugusa roho za wengi. In case kama alikuwa hajui hili, basi afahamu hivyo kuanzia leo...

Mara zote aliposhambuliwa kwa hili ama lile, binafsi nilikataa kuukubali uzushi wowote dhidi yake na nilimtetea sana kwa kupiga magoti kumwombea...

Lakini recently hasa tangu kuanza mwaka huu 2020, Askofu Gwajima ameonekana mara mbili au tatu akitoa kauli tata kidogo ikiwemo ile ya kuwaomba watu wa kabila lake wasukuma kumtetea na kumpigania Rais Magufuli ambaye kikabila inasemekana ni msukuma....

Alipohojiwa na kujitetea kuhusu hili la kushabikia ukabila, na kulitolea ufafanuzi niliendelea kuweka imani yangu kwake kama baba yangu wa kiroho....

Lakini kama hili linalo - trend sasa la kutaka kujiingiza kwenye siasa moja kwa moja ni la kweli na kutaka kutumikia mabwana wawili, basi ni dhahiri kuwa Bwana mmoja atapendwa na atamchukia mmojawapo.....

Kuna hatari anakwenda kuacha wito wake mkuu wa kuzileta roho kwa Mungu. Na kwa hili, binafsi sina hakika kama ameongozwa na Roho Mtakatifu kuchukua maamuzi haya...

I am afraid kuwa, huyu anakwenda kuizika rasmi huduma yake...

Akumbuke kuwa hata Yesu Kristo kuna wakati wayahudi walimwendea na kutaka kumfanya awe Mfalme wao. Lakini Yesu, alijua na kuiona mapema sana nia yao hiyo. Mara moja alitafuta kila namna na kuwakwepa kwa sababu wao waliyatazama na kuamua mambo kimwili zaidi....

Bishop Josephat Gwajima acha hilo. Jikite kwenye kazi ya wito wako. Umeitwa kwa ajili ya kujenga Ufalme wa Mungu. Waachie wahusika wa falme za duniani wafanye kazi yao...

Walikuwepo wahubiri maarufu sana miaka ile kama vile Mwinjilisti maarufu sana kati ya miaka 1980s hadi 2000s, Mzee Moses Kulola. Kamwe hakuwahi kuyumba na kutaka kuingia kwenye mitego ya kidunia kama wewe unavyotaka kunasa kirahisi sasa...

Wewe ni "Universal player" katika mambo ya siasa za nchi yetu. Wewe tayari ni Kuhani wa Mungu. Una nafasi ya KUONYA na KUSHAURI na KUELEKEZA kwa uzuri zaidi ukiwa mtu huru hata kama CHADEMA ama ACT WAZALENDO ama CCM ama CUF watakuwa madarakani ukiwa nje ya ulingo wa siasa za moja kwa moja kama unavyotaka kufanya....

Tatizo moja kubwa mnalokabiliwa nalo kwa sasa nyie viongozi wengi wa dini, ni WOGA na HOFU kuikosoa na kuilekeza serikali iliyoko madarakani. Wachache sana ni wa kweli na wajasiri....

Wengi ni wanafiki tu. Wanajali zaidi mahitaji ya miili yao na familia zao (ubinafsi) kuliko kujitoa kwa ajili ya wengine....

Kusimama kwa ajili ya wanyonge ni kama vile alivyofanya Yesu Kristo. Aliwakosoa na kuwaonya watawala wa serikali za dunia hii hii waziwazi bila woga wala hofu. Hakuogopa kusema ukweli....

Na kwa sababu hiyo (kuwakosoa na kuwaonya watawala wa serikali za kidunia) alikufa kwa ajili ya wengi. Alijitoa sadaka kwa ulimwengu wote. Mwisho Mungu alimfufua kutoka kwa wafu. Yu hai hata Leo. Alishinda kifo na mauti....

Sijui kama na wewe unaingia kundi hili. ..
 
Gwajima mwenyewe ni huyu anayeonekana kwenye video hii ?
 
Huyo muhuni na malaya Uaskofu aliutoa wapi? Uaskofu aliupata kwa mfumo upi? Pumbafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…