Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

Waliotafunwa wala hawalalamiki halafu wewe ambaye hujatafunwa unalalama kama una nyege si useme tu bishop hawezi kujivunga kwako dear
Mengi ya kibiblia ameshayavunja Mchungaji anatafuna kondoo wake walionona.
 
Huyu gwajima si amewahi sema kwamba kwake yeye kwa nafasi alonayo kuwa waziri ni demotion sasa na huu ubunge
 
Huyu bwana ameanza kunishangaza, asinifanye nianze kuamini yale mapichapicha yake!

Utumishi wa Mungu ni zaidi ya kuwa Rais wa nchi!
 
Hili jambo limeniwazisha sana

Kuna ulazima gani wa mtumishi mkubwa kama yeye kugombea ubunge?

Kwakuwa watu wanahoji,wanae(wafuasi wake) "wanamwitaga gwajima Baba" watakuja na kuwaita CHADEMA na kwamba mnaogopa atamshinda Mdee.

Masubili tamko la mch.Moses klora anavyosema
 
Mimi naona sawa tu, ngoja akaanze kuwahubiria huko huko ndani pengine haki itaanza kuonekana!

Maana sheria nyingi wanazotunga hazioneshi haki, nadhani ndio mana askofu kaamua kuingia huko huko jikoni
Angegombea uraisi kama angehitaji hilo.

Tangu lini mtoto akamkemea baba na kumfundisha maadili?

Hujui mbunge ni mtu mdogo hata kwa viongozi wa chama wa wilaya?

Umeshindwa kukemea ukiwa huru bila kutegemea mkono wa mtu kupata chakula,ndo ukemee ukiwa unategemea kulishwa na chama?

Najua uwezo anao ila bado yupo anazitafuta zaidi so usipinge kusema atategemea mkono wa ccm kulishwa
 
Mgombea anakataliwa katika box la kura, iwe chamani au jimboni. Mengine ni chuki binafsi na kujilisha upepo.
Ndo nyinyi mnaoingilia wake zenu kinyume na maumbile kisa eti mmeoa...

Mzee kuoa ni 1 na maadili ni kitu kingine.

Tatizo sio kugombea,tatizo ni nani anagombea kwa namna jamii inamchukulia.hamna siasa safi,watumishi wa Mungu wangebaki kuwa washauri tu.

Kama unamfananisha na msigwa,basi tukubali kuchukua hata mifano ya maisha mengine ya msigwa tuifananishe nae.
 
Tayari nimesha iandaa video yake kwaajili ya kampeni.. hatuwezi mpa mtu mchovu jimbo.. yani mechi ya dk 90 yeye anacheza dakika 2 na sekunde 47.. hawezi mambo.. labda kuunguruma kama mbozi..
 
Hawa ndo wanamchukiza Mungu mpaka tunapigwa na magonjwa yasiyojulikana.
 
Mkono wa baunsa aka kifo cha mende ni mpigaji hakuna mtumisha wa Mungu hapo.
 
Acheni hofu. Huyo Halima kama kidume apambane aache kuwatuma humu kulia lia. Hawezi basi aendelee kumlinda tuu Bul...
 
Hao Watumishi ndio wanatakiwa Kwa sababu Taifa litakuwa na maadili
Ana maadili gani huyo
Kweli usemi wangu wa "wajinga hawaishi Labda bahari ikauke" inazidi kujidhihirisha

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…