Duuuuh jamani eti nimesikia Gwajima ni mtumishi wa Mungu!!! Nashindwa kuamini maneno haya yanasemwa GT wa humu. Kuhusu kugombea ubunge, hiyo inaeleweka maana hata Makonda nae anagombea Kigamboni. Tuaelewa tu taratibu
Sisi wakaazi wa Kawe, hatuko tayari kuongozwa na mcheza filamu za ngono, muuza madawa, mtu anayemiliki silaha haramu, mtu tapeli anayibia waumini kwa madai kwamba ana uwezo wa kufufua ndugu zao waliokufa