johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hiyo Mama Samia kazungukwa na mbweha....!!Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo.
Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea wote waliomzunguka mh Rais.
Mungu ni mwema wakati wote!
Uko pale pale.Vip msimamo wake kuhusu chanjo
Gwajima ni kiongozi wa dini siyo imani!Naomba kuuliza kuwa is it ethical kwa kiongozi wa kiimani kujihusisha na shughuli za kisiasa directly kama anavyofanya Gwajima?!
Amina bwashee!Saasawa Joni
Nikutakie Dominica yenye baraka
Hahahaaaa.......!Kwa hiyo Mama Samia kazungukwa na mbweha....!!
CCM wana lugha zao bwashee!Kwa hiyo Mama Samia kazungukwa na mbweha....!!
Gwajima ni kiongozi wa dini siyo imani!
Aliwahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!Gwajiboy ni tapeli tu hana chembe ya kustahili kuitwa Kiongozi.,
Aliwahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!
Ana uwezo wa kuongoza!So what? Hata ayatollah Zitto aliwahi kushika nafasi ya juu kuliko hiyo.
Uchaguzi 2020 - Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.www.jamiiforums.com